Love Night Club

Kutokana na Matarajio Makubwa ya Umati wa wadau wa Afrika wa Mashariki kumetokea mabadiliko ya anuwani ya Jumamosi sept 5th 2009...
Badala ya Zanzibar Club sasa

EAST AFRICAN"In The Mix"

Kuselebukia 4th floor Love Night club

1350 OKIE STREET, NE
WASHINGTON DC,
20002

In Da Hauz will be DJ Boni Luv from Tanzania,
Dj Joe Cat Daddy, the oldskul mix master dj Luke feat Dj Banti
---------------------------------------------------------------------------------------
FRIDAY September 4th

"SOUL NIGHT" at SAFARI CLUB

4306 Georgia Av, Nw
Washington Dc,
20011,
Dj Boni Luv,The Olskul Mix Master Dj Luke Plus Dj Young Blood Kay
---------------------------------------------------------------------------------------------- SUNDAY SEPT 6TH

"NIGHT OF ELEGANCE"

A GROWN FOLKS DINNER & DANCE PARTY
@ THE VIKING CENTER,
15212 DINO DRIVE,
BURTONVILLE MD
20866
TIME: 8PM TO 3AM

Dj Boni Luv From Tanzania Feat the oldskul mix master Dj Luke
----------------------------------------------------------------------------------------------saturday sept 5th time 4:00pm

nyama choma by Special Chef shaban

@ Meadowbrook park
7901 Meadowbrook ln,
Chevy Chase,
Md
plus East Africa soccer tournament
Featuring teams from
Tanzania,Uganda,
Kenya,Burundi and Rwanda

-----------------------------------------------------------------------------------
sunday sept 6 4:00pm

Yanga v/s Simba

@ 1417 kalmia street,
Nw,
Washington Dc

kwa maelezo zaidi bofya
au
kwa madhali ya club bofya

Simu
240 595 9874,
240 605 1817,
240 354 8093

KARIBUNI WOOOOOOOOOOOOOOTE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Swali la kizushi kwa michuzi. hivi michuzi wewe furaha yako ni kumfichia mtu ukweli na ukamwacha akaharibikiwa au kumweleza mtu ili awe na tahadhari? huyu mwenzetu akipatwa na tatizo wewe utakuja tena mpatia visa?. inachukua miaka kumi hapa USA ukikamatwa unafanya kazi illegal kurudi nchi hii. sasa bora ni lipi, kumpa taarifa au bania litakalo mpata na limpate. ukitaka bandika au acha.

    ReplyDelete
  2. Nani anafanya kazi illegal? mbona Onyago hatuja kuelewa, una maana Dj.Boni Luv? mbona kuna watu wengi sana wanafanya kazi Illegal. Kwani kupiga mziki unahitaji work permit? Na nani atajua kama Dj.Boni anafanya kazi illegal. Lakini aangalie sana watu wanaweza kumchomea bongo ubarozini. Haaaa hii Bongo bwana, watu wana aangalia website ya michuzi nasikia hata ofisa wa viza ubarozi wa marekani anatembelea michuziblog kwa sana tu. Angalia sana Boni Luv.hahahaaaa.

    ReplyDelete
  3. hivi mbaya ni nani? Anaye mweleza kwamba Dj.Boni kwamba ni illegal kufanya kazi bila kibali, hata kama ni kupiga mziki au Michuzi anaye bania komenti ili Dj.Luv Boni asijue kitu?. Na sihivyo tu Dj.Boni Lov anatakiwa ku-decle pesa anazopata ili alipe kodi sababu analipwa hapigi bure kama kwenye birthday ya mtoto wa shemeji. sisi tunalipa kodi nchi hii. hakuna za kibongo bongo hapa. It is illegal hasa pale unapo acha kulipa kodi kwa malipo yoyote unayo lipwa. hivyo Michuzi asikuponze.wewe jirudie nyumbani tu utaharibu kitumbua chako hapa.

    ReplyDelete
  4. ee bwana ee! sikujua kumbe jamaa halipi kodi ? hii ni mbaya sana. hee hana weki pamiti? aah, very bad?

    ReplyDelete
  5. Watanzania ni wanafiki na such evil ppl ndiyo maana atufanikiwi wewe unayecare kuhusu fulani anafanya kazi bila kodi kama uko very caring why don't you call DJ bonny yoursel and tell him that why put such info in public info for everyone to see? Yaani ili taifa kwa kweli limelaaniwa never seen wicked people...very wicked.

    ReplyDelete
  6. This is part of the reason ppl never like to socialize or to share info kwani wachawi nchi yetu ni wengi usione mwenzako kafanikiwa unataka uchunguze mpaka umpeleke chini mwache yeye na Mungu wake na kama you care about the person approach them personally na siyo kumtangazia kwenye hii blog.
    NOTE TO MICHUZI***** I ADVISE YOU TO TAKE OFF HUU UJINGA WA ILI TANGAZO NA COMMENTS ALL TOGETHER THIS IS YOUR BLOG AND AS A FRIEND TO THESE PPL YOU SHOULD NOT LET OTHER PPL TALK SHIT ABOUT THEM..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...