bingwa wa kucheza kama michael jackson enzi hizo, sammy cool (kulia) akimuonesha kungwi wa warembo wa Vodacom miss TZ 2009 toka ujerumani, taja, namna ya kulisakata cha cha cha. sammy cool ndiye anayetoa mafunzo ya koreografia ya dansi kwa warembo hao ambao Oktoba 2,2009 watapanda jukwaani ukumbi wa Mlimani City Conference Centre kwa fainali yao ambapo kwa mujibu wa waandaji hayati Michael Jacksobn ataenziwa siku hiyo.
Sammy cool, ambaye ametingisha sana enzi hizo akiwa na Bob Ritchie, pia ni mwalimu mkali sana wa Salsa na anafikiria kufungua darasa hapo Giraffe Ocean View hotel baada ya miss TZ

a

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...