Naomba msaada kwenye Tuta, nawatafuta washirika wangu tulikuwa nao JKT 1990 kule Mlale Songea . Operation Program ya Chama.
Nawatafuta Renacy Kaligonza Mukaja, Esther wa Tanga , Kassim Sarumbo,Dorothy Mgandila na Frida bila kuwasahau maafande wa Kombania A + B. na Quarter master afande Shaib.
kama kuna ndugu yeyote mwenye namba za hawa ndugu naomba anisaidie tafadhali. Mara ya mwisho niliambiwa kuwa Renacy Mukaja alikuwa anafanya kazi pale Kisutu Nyara za Taifa, natafuta mawasiliano nae mimi niko nafanya kazi Mwanza na AMREF mwenye contact za ndugu hawa aniandikie e mail flymushi@yahoo.com Flora M

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mwadila mwangaruka baibu

    ReplyDelete
  2. pole sana ndugu yangu wote wako mbele ya haki!!!!bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe...

    ReplyDelete
  3. wote wamekufa! bakti mbaya! just kidding! good luck getting them!

    ReplyDelete
  4. anon 08:39 umenichekesha sana, hadi machozi, yaani sijawahi cheka namna hii siku nyingi sana.

    Asante sana, duh! (but i hope you are just kidding!)

    mdau- amsterdam!

    ReplyDelete
  5. kweli humu ndani kuna watu wamenyongorota !!!

    ReplyDelete
  6. Nakumbuka kama nilicomenti jambo zuri hapa kuhusu maswala ya JKT, lakini sijaiona oh, ok, no problem

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...