Kwa wale wote wanaohitaji services kwa
ajili ya computer zao (desktop na laptop) za aina yoyote

*Formatting of the Computer
*Data recovery (Kama hard drive yako ilipoteza data zako muhimu)Anti-virus
*Upgrading Operating system or dual Operating system
*Upgrading memory.
*General computers problems

NOTE: Service zote hizi zina warranty
kama tatizo litajirudia ndani ya
miezi mitatu utafanyiwa bure.

Pia Laptop mpya za aina mbalimbali zinapatikana Mfano dell,Toshiba na Hp.
Na external hard drive kuanzia 160GB mpaka 500GB plus flash disk kuanzia 2GB mpaka 8GB

NOTE:External hard drive zote
zina warranty ya miaka miwili.

Kwa mawasiliano tumia
Number +255713 332019
Email:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mnapatikana wapi? Ninayo laptop yangu ya dell ambayo inahitaji kuwa reformated lakini haina installation disc kwa vile nimeipoteza. Can you do it and whatare your charges?

    ReplyDelete
  2. Nakumbuka magomeni mapipa nimewahi kuona tangazo linasema "Tunatengeneza simu kwa kutumia kompyuta". Mpaka leo bado sijaelewa wale watu wanafanya nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...