Kwa wale wote wanaohitaji services kwa
ajili ya computer zao (desktop na laptop) za aina yoyote
*Formatting of the Computer
*Data recovery (Kama hard drive yako ilipoteza data zako muhimu)Anti-virus
*Upgrading Operating system or dual Operating system
*Upgrading memory.
*General computers problems
NOTE: Service zote hizi zina warranty
kama tatizo litajirudia ndani ya
miezi mitatu utafanyiwa bure.
Pia Laptop mpya za aina mbalimbali zinapatikana Mfano dell,Toshiba na Hp.
Na external hard drive kuanzia 160GB mpaka 500GB plus flash disk kuanzia 2GB mpaka 8GB
NOTE:External hard drive zote
zina warranty ya miaka miwili.
Kwa mawasiliano tumia
Number +255713 332019
Email:
Mnapatikana wapi? Ninayo laptop yangu ya dell ambayo inahitaji kuwa reformated lakini haina installation disc kwa vile nimeipoteza. Can you do it and whatare your charges?
ReplyDeleteNakumbuka magomeni mapipa nimewahi kuona tangazo linasema "Tunatengeneza simu kwa kutumia kompyuta". Mpaka leo bado sijaelewa wale watu wanafanya nini
ReplyDelete