
Chama cha New England Umoja,kinawakaribisha Watanzania wotewaishio Masachusetts na jirani zao katika sherehe za EID EL FITR,zitakazo fanyikia Sept 26
CLUB ATLANTIC,
1389 Liberty St,
Springfield,
Ma,
1104,
kuanzia (8:30 PM-2:00 AM)
Muziki utaporomoshwa na Dj Mahiri na Maarufu wa Siku nyingi katika hii fani kutoka Washington Dc,OLD SKUL MIX MASTER DJ LUKE,kwa miziki ya Rusha Roho,Mduara,Lingala,Bongo Flava,Genge,U.G.Flava,Kwaito,Decale,Ragga,New skul na Old skul,ili mradi ni raha ndani kumoyo,kwa wanaopenda Bongo Flava kutakuwepo na Bongo Flava Suprise artist,kutoka Tanzania,atakae kata kiu yako
kesho yake jumapili sept 27 itafuatiwa na mechi ya marudiano kati Stars United F.C. na Boston Rangers itakayochezewa
168 Alewife Brook Pkwy,
Cambridge,
MA 02138.
kuanzia saa 9 alasiri Mpaka 5PM
KARIBUNI WOTEEEE
Viagra Strikes Again...
ReplyDeleteAn elderly woman goes to the doctor and asks his help to revive her Husband's sex drive. 'What about trying Viagra?' asks the doctor.
'Not a chance' says Mrs. Murphy. "He won't even take an aspirin for a headache."
'No problem,' replies the doctor. 'Drop it into his coffee, he won't even taste it. Try it and come back in a week to let me know how you got on.'
A week later Mrs. Murphy returns to the doctor and he inquires as to how things went. 'Oh it was terrible, just terrible doctor.'
'What happened?' asks the doctor.
'Well I did as you advised and slipped it in his coffee. The effect was immediate. He jumped straight up, swept the cutlery off the table, at the same time ripping my clothes off and then proceeded to make passionate love to me on the tabletop. It was terrible.'
'What was terrible?' said the doctor, 'was the sex not good?'
"Oh no doctor, the sex was the best I've had in 25 years, but I'll never be able to show my face in McDonald's again.
Kama ni kusherehekea sikukuu ya Eid El-Fitri basi kusherehekea kwa muziki au mduara yote hayo ni kharamu kwani hayo Allah (S.W) amekataza na Ramadhan yako yote uliyofunga itakuwa ni bure. Ile siku ya mwisho wa Ramadhan Iblis(Shetani) hupiga ukelele mkubwa sana wa huzuni basi wale wanawe humfuata mbio na kumuuliza kulikoni? Iblis huwambia leo nina huzuni sana kwasababu waislamu leo hii wamemaliza kufunga na M/Mungu atawapa rehma nyingi sana na atawafutia madhambi yao kwa hiyo mimi nitakosa wafuasi katika moto wa Jahannam kwahiyo mimi nataka wasiwe wenye kufuzu, nataka muwashughulishe ili wasiwe wenye kufuzu katika siku hii , kwahiyo wengine wafanyeni wawe wanakunywa pombe, wengine kwenda muziki, rusha roho na mduara na wengine kuzini na kila aina ya maasi.
ReplyDeletewenu mdau MH CANADA.
"HAKIKA MSICHANGANYE HAKI NA BATILI........"Hiyo haitakua sherehe ya EID bali ni watu tu mmejitafutia sababu ya kufanya maasi.Uislam ushafundisha juu ya sherehe za EID(kula vizuri,vaa vizuri,furahi na familia-ndugu na jamaa,marafiki,na majirani,tembelea wagonjwa na ndugu,pamoja na kutoka na familia yako.
ReplyDeleteKUFUNGA RAMADHANI KISHA KUSHEREHEKEA KWA MZIKI,NGOMA,POMBE,ZINAA NA YANAYOFANANA NA HAYO, NI SAWA NA KUOGA MWEZI MZIMA KISHA UNAJIFUTA KWA TAULO LILILO LOWA KINYESI.
Wabillah tawfiq.
Masachuttes ni wapi huko?
ReplyDeleteKuna uwezekano mkubwa kuwa iddi ni siku ya jumapili, embu acheni hayo maasi yenu mwezi mtukufu. Tusisahau kuwa mwenyezi hana shida na toba zetu, ila hufarahishwa kama tunamfuata kutubu dhambi zetu. Dini ni kuonyana!
ReplyDeleteMdau Boston
kaka luka kazi unayo...naona watu wameanza kukuandama!watch out
ReplyDelete