Home
Unlabelled
simba iliyokuwa simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Simba hii kweli sio mchezo niliowatambua mimi niwa3 toka shoto ni Nico Demas Njohole wa5 toka shoto ni Mohamed Bakari Tall wa6 toka shoto ni Adam Sabu garincha wa8 toka shoto Mohamed Kajole Mchella
ReplyDeleteMdau
Kisiju Pwani
Huyo wa pili kushoto mwenye afro siyo Martin Kikwa huyo?yuko wapi siku hizi?
ReplyDeletenaona jamaa wako na MP3 players za enzi hizo......na ndiyo walikuwa wajanja wa nyakati hizo.
ReplyDeletenimezipenda suruali zao hii fashion ikirudi wanume mtakuwa mko juu sana
ReplyDeletehaki ya nani ze fulanaz itanoga zaidi ukivaa na suruali mtindo huu kama ya huyo jamaa aliyekunja nne tu
ReplyDeletemiss michuzi
Nami naongezea Martin Kikwa, Mohamed Bakari Tall, Adam Sabu, Mohammed Kajole 'Machela'.
ReplyDeleteNamuona marehemu Martin Kikwa hapo, (RP brother)
ReplyDeleteYusuf Kaungu,Martin Kikwa,Aluu Ali dynamo,Ismail Mwarabu,Mohamed Bakari Tall,Athuman Juma,Herman Kiseka,Mohamed Machela Kajole na Lucas Nkondola...wasiomo hapo ni Omar Mahadhi,Athuman Mambosasa,Daudi Salum,Aloo Mwitu,Filbert Rubibira,George Kulagwa,Dan Mwalusamba,Adam Sabu,Jumanne Hassam Masimenti,Thuwein Ali na Abdallah king Kibaden mputa.
ReplyDeleteAliyesema Mp3 za siku hizo hajakosea hata mie kichwa changu ndio kilifikiria hivyo Mp3 mwanangu. wametoka pina Tizama Afro zina AFYA sio Drogba na kalikiti.
ReplyDeletewengi watakimbilia kusema ‘kibadeni’, hayupo hapo! martin kikwa; aluu ally; yusuf kaungu; mohamed kajole; mohamed bakari tall; alloo mwitu; abdallah hussein; usiniulize yupi ni yupi, mdau..go figure!..
ReplyDeleteKIKWA, MACHELA KAMA SIKOSEI NA SABU NI MAREHEMU, PIA KUNA KAKA YAKE OMARY HUSSEIN, ALIKUWA ANAITWA KAMA SIKOSEI NI ABDALAH HUSSEIN ALITOKEA MSETO NI WA MWISHO KUSHOTO, MSETO ILIKUWA YA MOROGORO ILIWAHI KUWA BINGWA WA TANZANIA NA MWAKA ULIOFUATIA WACHEZAJI WENGI WALIIBIWA NA SIMBA NA YANGA
ReplyDeleteSURUALI ZILIKUWA ZINAITWA PEKOSI/PECOS ZILIKUWA PANA CHINI JUU KWEMBAMBA UKITAKA UTOKE UNAVAA NA AMA SHATI AU T-SHIRT YA KUBANA MBAVU NA UNACHANA AFRO YAKO NA LAIZONI/RISE-ON VIATU VYENYE SOLE NDEFU SANA HII YOTE ILIKUWA NI MITINDO TOKA MAJUU KUWAIGA AKINA THE BEATLES (UNITED KINGDOM MUSIC LEGENDS AKINA PAUL MACCA, RINGO STAR - MTALAM U WA TUMBA - DRUMMER, JOHN LENON) NA COOL AND THE GANG) AMERICAN LEGENDS OF THE TIME
ReplyDeleteyussuf kaungu,martin kikwa,aluu ally, nadhani nicodemus njohole,mohamed bakar tall,athman juma,hamisi askari,mohamed kajole na lucas nkondola. hapa wako fresh baada ya kuichabanga nyota afrika (yanga raizoni) takriban june 1976 kule arusha. mambosasa mwaka huo alichezea nyota afrika kwa muda kidogo, akarudi tena msimbazi.
ReplyDeleteMichuzi kwa kukupa listi ya kamili ya waliomo kwenye picha hiyo ni
ReplyDeleteKutoka kushoto Yusuf Kaungu,Martin Kikwa, Aluu Ally,Ismail Mwarabu,
Mohamed Tall,Athuman Juma,Hamis Askari,Mohamed Kajole (Machela) na Abdallah Hussein (Kaka yake Omari Hussein ) na hicho kilikuwa kikosi cha 76 na 77 baadae wengi wao wakaondoka kwenda Arabuni (Dubai,Abuu dhabi nk) kucheza mpira wa kulipwa . mfano Kaungu, Aluu Ally na wengine . Mdau Kikopo Leicester UK.
hebu acheni ushabiki wa uongo...hamis askari yuko wapi hapo?...next to kajole ni mganda herman kiseka!
ReplyDeleteMartin Kikwa ni m'jomba wangu. Maskini ame kufa but I shall never forget him; he was hilarious and generous. M'ungu ata m'saidiia. Sorry for my bad swahili
ReplyDelete