Kwa niaba ya Jumuiya wa watanzania Reading ,tunasikitika kuwapa taarifa za kifo cha Mtanzania mwenzetu Mama Natisha Gomera aliyekuwa akiishi hapa Reading -UK kilichotokea tarehe 20.09.2009 saa kumi jioni huko Tanzania kwa ajali ya gari akiwa na mtoto wake.


Japokuwa kuwa mtoto wa marehemu anaendelea vizuri,Marehemu alikuwa pia ni dada wa Fue,Mndima and Everlyne Babin.

Msiba kwa sasa upo Slough kwa mdogo wake.


1:Everlyne Babin 17 SONNING COURT,
FARNBURN AVENUE,
SL1 4AG.
Tel : 07787142805

Account detail.

Miss E.BABIN
BANK NAME :BARCLAY'S BANK
SORT CODE:20-71-06
ACCOUNT NO:105 256 77

KUMBUKA KUWEKA JINA LAKO KAMA REFERENCE

2: Mndima Fue
Tel 07833692695

Kwa wale unahitaji kutoa mkono wa pole kwa wafiwa basi walisilina nao kupitia namba hapo juu.Kwa niaba Jumuiya ya watanzania Reading UK
Blog:www.musoma-tanzania.blogspot.com

.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. poleni sana wafiwa dunia tunapita njia tu kwetu ni mbinguni tutamkuta

    ReplyDelete
  2. Dr. Ngoma. M. C.September 24, 2009

    Wanajumuiya Wakitanzania waishio The Great Manchester (UK), wanatoa rambi rambi na pole kwa msiba uliowafika Miss E Babin, Mr. Mndima Fue, ndugu/familia na wanajumuiya wote wa kitanzania waishio Reading kwa kumpoteza dada yetu mpendwa mama Natisha Gomera. Vile vile wanamtakia kheri na uponaji wa haraka kwa mtoto wa marehemu. Wanajumuiya wa hapa wapo pamoja nanyi kwenye kipindi hiki cha msiba kiroho, Mungu amuweke pema peponi marehemu dada yetu. Amen.
    Mwenyejiti wa Jumuiya ya Watanzania Manchester (Dr.Mdimu Ngoma)

    ReplyDelete
  3. msiba umefanyika huku Tanzania ila cha kushangaza yule mzungu aliyekuja kuzika tumeambiwa ndio mumewe wakati huku alikuwa ameolewa kanisani ndoa ya kisabato sasa inatupa utata ila mungu amuweke mahari pema peponi,mnaoishi huko ulaya kama mmeolewa sio vizuri kutelekeza waume zenu kwa ajiri ya wazungu

    ReplyDelete
  4. POLENI SANA MUNGU AMLAZE MAHARI PEMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...