DJ Yusuf & Routes in Rhythm Soundsystem
JOIN US THE LAST FRIDAY OF EVERY MONTH
AS ZANZIBAR’S HOTTEST DJ SPINS THE DECKS WITH RARE GROOVES...
Chilled and dance music from around the world...
FUSION OF GLOBAL SOUL TO AFRO POP
STARTING
THIS FRIDAY 25th from 8 pm till late
LIVE LOCALLY – GROOVE GLOBALLY
ADMISSION FREE !!!
wapi-Mji gani? Muwe mnaleta vitu vilivyokamilika sio wote tunajua hii club ipo dunia ipi.Damn
ReplyDeleteHii iko zanzibar,ofcoz kuna ka sehem kidogo wamesema abt the Dj...zanzibar's hotest Dj inaweza ikakufanya uhisi kwamba ipo zenji ingawa nayo pia haitoshi kuonyesha shughuli ilipo coz unaweza kuwa Zanzibar's hotest Dj lakin siku iyo ukawa unapiga disco Kibena Club Njombe..Next tym muwe makini bana...
ReplyDeleteI love Dj yussuf he surely knows how to spin the wheel, BUt Not too sure about the place mercury............Service is CRAP...wanapenda sana wadhungu.....i think wanaambiwa 'mkiona wamatumbi, jua ni soda tu'. I was there on the night of the first Eid....yaani hata hujamaliza kutoa order haooooo wameshaondoka..wakileta vitu havikamiliki, wanarembea rembea tu....LOH!hamna hata tabasamu....chakula chenyewe kibovuuuuuuuu.........i just dint have any option cause it was the only place they had a live band anyways sielewi kwa nini inakua hivi.........pia kuna siku moja nilikua naelekea Uroa, zanzibar kusimamai ujenzi...camera yangu iliisha battery basi nikasema nitanunua huko mahotelini kwenye maduka. basi tukapita hoteli moja inaitwa ' Ora marumbo reef (yaani hata kwenywe google hamna) iko huko uroa...nika paki gari yangu ile nikanunue humo ndani. Jamaa kufika mlangoni kulikua na maasai…kuingia tu nikasimamishwa…nikaulizwa nataka nini????Jamani jamani nilishangaaaaaa…..kuingia hotelini imekua DILI??nikamwambia…kwanini kaniuliza hivyo??akasema watu hawaruhusiwi kuingia???nikamuuliza wanaogingia huku wote wanyama???akasema kuwa yeye anafuata ambri…..nikamwambia nataka kumuona mkuu wake…akaenda ndani…baada ya dakika chache akarudi anasema kuwa anakuja. Nikakaa hapo nje 15 minutes hajaja mtu.masai anasema wewe subiri tu atakuja!!!!! Nikavuta subira another 10 inutes sijamuona mtu…….yaani nilitamani kulia KUDHALILISHWA kwenywe nchi yangu.Inakuaje kuwaje wageni wanafikia hivi????????in simple words…..ile hoteli hairuhusu watu weusi na si hiyo peke yake zanzibar zimejaa nyingi, kwa nini tunawacha hivi, tunakubali ukoloni????????
ReplyDeleteNaomba jawabu, ndugu zangu!!