Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wananchi naombeni mnipigie kampeni mimi mbunge wa upinzani nipate uwaziri ili niwatengeneze TRA na JNIA-julius Nyerere International Airport waache wizi wao.
    nitashukuru kwa kura zenu.
    Thanks

    ReplyDelete
  2. ZIS IZ THE RIGHT TIME FOR PURE AND APPLIED NON-LONGO-LONGO POLITICS.SIASA VIGEU-GEU(FLIPFLOPING POLITICS) NA NYINGIZE ZIMEWASILI KIGOMA MWISHO WA RELI

    ReplyDelete
  3. wadhi kanye?September 14, 2009

    Huyo mpiga kura anaonekana kama wa jimbo la Musoma Mujini eti akisweti na mazoezi ya 'kombe la Mbunge' wakati anaelemewa na kelo kibao. Zikiwemo za umaskini, ubaguzi, udanganyifu na visasi.

    Uongozi hauwezi kuendelea kulazimishwa kuwa wa kifamilia familia na vibaraka wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...