Meneja Mtafiti wa Masoko wa Tigo Issack Nchunda akimkabidhi zawadi Faldhin Muhammad mshindi wa kitita cha milioni moja wa promosheni kabambe ya Tigo Kila Mmoja Anashinda wakati wa hafla fupi ya makabidhianao iliyofanmyika makao makuu ya Tigo jana. Kushoto anaeshuhudia ni Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando.
Wadau Faldin Mahammad, Asha Ramadhan na Meenal Shah washindi wa kitita cha milioni moja kila mmoja katika promosheni kabambe ya Tigo Kila Mmoja Anashinda wakionyesha pesa zao mara baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla fupi ya makabidhianao iliyofanyika makao makuu ya Tigo leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kwa wale wanaopenda 'ubosi', ukiingia kampuni ya simu una 'guarantee' ya kutengenezewa cheo chako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...