Huyu mwana mama amejirudi vizuri sana …CD yake sasa ni HOT CAKE ya USA…hebu check her new video….hii track I LOOK TO YOU kibao kimeandikwa na R. Kelly ….na CD yake mpya inaitwa I Look To You pia….katika hii CD ameshirikiana na Akon pia….jambo ambalo Whitney alifurahishwa sana na “sound” ya Akon sababu anadai ilimkumbusha sana Africa.
Mdau Ughaibuni
VIDEO ni hii ……..
Naomba ushauri, Malapa gani ni mazuri ya Umoja au Bata? Whitney lazima anajua.
ReplyDeleteMimi na familia yangu tulimkubali na tunamkubali pengine tutaendelea kumkubali!
ReplyDeletei say huyu mwana Mama amejitahidi sana!! Wabongo tujifunze kila mtu anapotea lakini ujanja ni kujirudi. Ona mambo haya!! Bless you MA!
ReplyDeletethere is one word i would like to say about this video and that is FANTASTIC.
ReplyDeletecheck ktk next show ya Oprah, amemwaga wazi kila kitu kuhusu life yake na amekiri wazi kama alishawahi kula unga kishenzi hinzo hizo na pia kazungumzia juu ya ndoa yake kabla na baada ya kuachana na Bob hapo 2007. Never miss that Oprah show, next wk.
ReplyDeleteLOVE THIS LADY. SHE WAS WASTING HER LIFE WITH BOB.
ReplyDeleteI SAW HER DANCING WITH HER BABY THE OTHER DAY...I WAS SO MOVED....
As I lay me down,
heaven hear me now.
I'm lost without a cause
after giving it my all.
Winter storms have come
and darkened my sun.
After all that I've been through
Who on earth can I turn to?
[Refrain]
I look to you.
I look to you.
After all my strength is gone,
in you I can be strong
I look to you.
I look to you.
And when melodies are gone,
in you I hear a song.
I look to you.
About to lose my breathe,
there's no more fighting left,
Sinking to rise no more,
searching for that open door.
And every road that I've taken
lead to my regret.
And I don't know if I'm going to make it.
Nothing to do but lift my head
[I Look To You lyrics on http://lyricsmusicvideo.blogspot.com ]
[Refrain]
I look to you.
I look to you.
After all my strength is gone,
in you I can be strong
I look to you.
I look to you.
And when melodies are gone,
in you I hear a song.
I look to you.
My levees are broken
My walls have come
tumbling down on me
The rain is falling.
Defeat is calling.
I need you to set me free.
Take me far away from the battle.
I need you.
Shine on me.
[Refrain]
I look to you.
I look to you.
After all my strength is gone,
in you I can be strong
I look to you.
I look to you.
And when melodies are gone,
in you I hear a song.
I look to you.
mdau wa kwanza swali hilo kamuulize mamako angekujibu vizuri sana
ReplyDeleteWabongo michosho sana.Mnapenda watu wasio wa kwenu na kuchukia ndugu zenu.Kanumba mnampiga madongo lakini mnafagilia huyu mtumia madawa haramu.
ReplyDeletesafi witney but your voice is not crystal clear as those days, you still have coc dust in your throt.
ReplyDeletebig fan
mbona vyombo vingine vya habari vimemnanga na hata albamu yake haikufanya vizuri kwenye mauzo...
ReplyDeletemwimbo mzuri sana..amejitaidi, japo naona hajapata success sana this time, au manager wake mbovu au yeye bado hajajiamini sana..yote kheri one step after another..
ReplyDeleteThere's always a second chance jamani..
Hs