Home
Unlabelled
yanga ya katka zama hizi za mkwere
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WANACHAMA WENGI HAWAMTaKI MADEGA NDIYO TATIZO KUBWA LILIOKO. SO WANATUMIWA WACHEZAJI KUTOFanya vizuri ili wapate sababu ya kumtimua. INAS3MEKANA ANAENDESHA CLUB KAMA YAKE. HUWA HATA VIKAO VYA UTENDAJI HAITISHI KATIKA KUTOA MAAMUZI MUHIMU BADA
ReplyDeleteLA YAKE HUJIAMULIA MWENYEWE.
to be honest if u compare the two pics u can find out that so called yanga players lack of batter live,unhappy ,more stress,as if they gonna die 2morrow
ReplyDeleteold was better
Hiyo ni "Simba'' maana Kaseja anaonekana ktk hiyo picha.
ReplyDeletesasa kama hawamtaki madega si wasubiri wakati wa uchaguzi kwnaini wawaambie wachezaji waihujumu timu? ndio maana soka la tanzania aliendelei litaishia hapo hapo milele kwa ajili ya ulimbukeni wa wachezaji.
ReplyDeletehahaha michuzi umenifurahisha unasema hiyo ni yanga ya sasa,wakati kaseja yupo hapo jamai kwanza tuwekee picha ya vijana wapya wakiwa kazini ndipo useme yanga ya sasa, huyo kaseja hapo muondoe
ReplyDeleteSidhani kama timu inafanya vibaya kwa sababu ya kuhujumiwa, mimi nafikiri yanga inafanya vibaya kwa sababu ya maandalizi duni, usajili wa ubabaishaji na uongozi mbovu kwa ujumla ambapo umepelekea kuboronga kwenye usajili kwa kiasi ambacho sijawai kuona na kukimbilia kuwalalamikia TFF
ReplyDeleteNasikia wanataka kurudisha Nadri Haroub, Nionavyo mimi itakuwa kama mwanafunzi amefaulu kwenda secondary..shule yake ya msingi inataka abakie hapo hapo ili ionekane ina wanafunzi wazuri. Kwa kweli mnaharibu maisha ya hawa vijana..waacheni wandelee kujifunza katika ngazi ya juu...pale jangwani atapata nini??? sio Fedha, ujuzi wala network. Kule atajifunza zaidi, ana nafasi ya kutengeneza pesa zaidi ya hizi za Manji, pia ana nafasi nzuri ya kutengeneza maisha hata kama sio katika timu hiyo aliyonayo sasa. - Mdau wa Soka
ReplyDelete