Baada ya kuangalia bomoa bomoa, usikose libeneke la You tube na fiesta one love katika link hii chini:
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Baada ya kuangalia bomoa bomoa, usikose libeneke la You tube na fiesta one love katika link hii chini:
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hi hi hi ka katuni kametulia, nimecheka mpaka basi
ReplyDeletebraza kusaga hongera sana upo juu.
Duh huyu kweli aliamua hasa. Ila kwa wamarekani wao vitu kama hivi vikifanywa na raia wao ambao si waislamu vinakuwa vya kawaida.
ReplyDeleteIla kama angefanya hivyo mwarabu au muumini yeyote wa kiislamu, basi hiyo ingekuwa big stori kuwa ni terrorist attack
hii njemba waliiudhi kinoma, ika-modify hilo machine na kuwakomoa.
ReplyDeletewenzetu hawana waganga au mashehe ukimuudhi ni bunduki au mambo kama haya sio sie tunamtafuta sheikh fulani amtie mtu shetani (subiani) :D
ReplyDeletehii unatakiwa unaishusha bongo kwenye nyumba zote zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200 manaake yeyote mwenye nyumba kama hio atakuwa fisadi tu na anastahili hio kubwa kuliko na mahakama nazo pia kwa kushindwa kumfunga japo fisadi mmoja na kudhulumu haki za wanyonge na police station haswa idara ya trafiki halafu ofisi za TRA unazisomba hadi baharini kule dubwi ndani ya maji.lazima nchi inyooke tu
ReplyDeleteYap watu wakichoka wamechoka bwana. Wamarekani ndio hivyo ukimuuzi, ukimdhulumu yeye ata kugun tu, hata kama na yeye atajiua. Hapo Meya, Police , Diwani wote wameshughulikwa. Tanzania wanahitaji vitu kama hivi. Mafisadi wote na majumba yao. Choma moto! Mapolisi wote wanaochuka sheria mkononi choma moto.Wale wote waliochukua nyumba za serikali twende kazini. NDIO WATU WATANYOOKA NA KUHESHIMIANA.
ReplyDeleteWewe anony wa 11.39, acha kulia wivu weweee! We maskini nini! Eti mwenye nyumba ya thamani ya zaidi ya milioni 200 ibomolewe, wewe unaishi kwenye banda gani?? Fanya kazi kwa bidii ili nawe upate, siyo kulia wivu tuuu. Waafrika bwana...
ReplyDeleteHayo yote yanasababishwa na ukosefu mkubwa wa ajira ambao chanzo chake ni uchumi wa Dunia kwenda chini(Economic Crisis),hakuna ajira,hakuna pesa,mtu hawezi kwenda kwa jirani kukopa,au kwa ndugu,hakuna mzunguko wa pesa.Japan kuna msitu mmoja mkubwa ambao watu wanakwenda kujiua huko;marekani ndo kama hivyo,"to turn vs the Pulic" hatimaye anaishia kujiua.Kwa hali hii,jamani nyumbani ni kuzuri,angalau mtu unaweza kuwa na kashamba kadogo ukalima hapo mboga ukapata za kula nyingine ukauza,na ukaishi,lakini kwa wenzetu kitu k.m hicho hakipo.
ReplyDeleteAnon wa Fri Oct 30, 07:28:00 AM
ReplyDeleteFanya uchunguzi kwanza kabla ya kutoa comment. Shughuli hii ilifanyika mwaka 2004, sasa kipindi hicho kulikuwa na Recession?. Sema Kichaka aliibana haikutoka kwa kuhofia kuwa hii nayo ilikuwa ni moja ya mbinu ambazo zikiwa wazi basi al-qaeda wanataitumia katika kutekeleza azma yao.
Ila huyu jamaa ni kichwa hasa, maana alijifungia maabara akatengeneza kitu hakipenyezi risasi halafu anakiendesha kwa kutumia kamera na screen kuonea nje. Huyu alitakiwa kutuniwa tuzo ya ubunifu
only in AMERICA......
ReplyDelete