Who needs Halloween when there is:

Lady Jay Dee & Machozi Band
This Saturday,

31 October,

9pm-2am.


Reservations: 0755 75 40 74.


Sweet Eazy Oysterbay,

for the Best Live Music -

Every Thursday & Saturday.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ledi Jei dii hio shingo unaumwaaaaa au?

    ReplyDelete
  2. Mshkaji umechemsha unamwambia mwenzio anaumwa wewe je umepima?unajua afya yako?au ndio vijicho vya pembeni unamkodolea mtoto wa mwenzio?? Kaza buti Jide wanga wengi wasiopenda maendeleo yako.Me nakupigia saluti mtoto unafunika kinoma noma, kazana achana na huyo mwanga anawanga mchana mchana.

    ReplyDelete
  3. haumwi jamani bali pozi tu hilo

    ReplyDelete
  4. Ebo hivi tanzania mtu akisema anaumwa basi ni ukimwi tu tehe hthehe hhh...Mimi nahisi huyo mtu aliulizia kuumwa shingo ya hilo pozi huyo hapo juu kakurupuka tu sijui yeye ndio anao

    Dada wa watu amependeza sana lakini hilo pozi kama shingo inaumwa vile

    ReplyDelete
  5. Pole sana naona msg umeipata ndio maana umejibu kwa kusema ukimwi.kAMA MM NINAO UJUE NA WEWE UNAO MAANA KUMBUKA HA2KUWA 2NA2MIA KINGA MIMI NA WEWE MPAKA NILIPO AMUA KUKUBWAGA.Pia wewe unatia aibu kama pozi dogo tu namna hii unashangaa je ukiona la nanihii c atazimia!?? xx:-)

    ReplyDelete
  6. Yatakushinda hivi unadhani Tanzania ni wajinga kama wewe? Wa2 2meenda darasa mpaka sasa hv 2mejificha na ma PHD yetu 2nakula kitu roho inapenda we vp? umelewa chibuku? nenda kafie mbele huko.

    ReplyDelete
  7. Hongera Jay Dee.upo juu sana kwa sasa hasa wimbo wako wa sasa Natamani kuwa kama malaika,unanikuna sana dada yangu.pindi nisikiapo wimbo huo najihisi kama kweli mimi ni malaika,sauti safi-iwezayo kumtoa nyoka pangoni.naomba contat zako dada.
    mdau Lusungo iPinda kyela.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...