Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Dk.Batilda Buriani, akikata utepe leo jijini Dar kuizindua simu aina ZTE S312 ambayo betri yake inatumia mionzi ya jua pamoja na umeme. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietof Mare. Vodacom ni kampuni ya kwanza kuileta na kuiagiza nchini simu hiyo itayonufaisha sana wadau wa vijijini na hata mjini luku ikiisha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Dk.Batilda Buriani akiwa ameshika Kipeperushi cha simu aina ya ZTE S312, wakati wa uzinduzi wa simu hiyo ambayo inatumia mionzi ya jua na umeme, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietof Mare.Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mithupi
    How much are these phones in Tanz
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  2. hivi hawa viongozi wetu hawana shughuli nyingine hadi kila kukicha kuzindua miradi ya kampuni au watu binafsi? angalau kidogo ingekuwa ni waziri husika (yaani sayansi na teknolojia au mawasiliano) ningejilazimisha kuelewa.

    ReplyDelete
  3. DR.Batilda ninahusudu hijab zako keep it up wewe ni msomi na unajihifadhi.tena una PHD halali kabisa hongera sana.

    ReplyDelete
  4. Huyu ni waziri anaeshughulikia mazingira, ikiwa ni pamoja na mambo ya nishati mbadala wa umeme....nimegundua uelewa kweli ni mgumu sana....Jah love!!

    ReplyDelete
  5. Dr. Burian Wallahi unapendezaga sana Allah akuzidishie kila la kheri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...