
Kwa mara nyingine Hasheem Thabeet azidi kugonga vyombo vya kimataifa safari hii ungana na Terry Badoo wa CNN Sports akichambua maisha ya Mwanakikapu huyu kama ilivyoletwa na CNN Inside Africa. Pamoja na mambo mengine Hasheem amezungumzia maisha yake ya kikapu kabla na baada ya kuwa super star pia mama yake mzazi ameongea kidogo.
Bofya hapa
kufahamu zaidi
Kamua kaka H. T.
ReplyDeleteNakutakia mafanikio
at least bongo sasa tunaludi kwenye ramani ya dunia,mara ya mwisho ilikuwa ile milipuko ya kigaidi,kiasi fulani ilisaidia kututangaza,maana mzee tunapata shida kuelekeza wazungu bongo iko wapi mpaka tuulize u know kenya.dogo tuludishe tena kwenye ramani tutasubili milipuko mpaka lini
ReplyDeleteni kweli kabisa maneno yako anon ulietangulia na atakaeleta ubishi kwa hilo basi amezoea kubishana na anaweza hata kubishana na radio
ReplyDeletebongo kujulikana ni shida sana sisi tunaoishi ughaibuni tunapata shida sana kumfahamisha mtu nchi yetu
sana inakuwa rahisi ikiwa utaitaja kenya alafu ndio utasema sisi tupo jirani na kenya hapo mtu atakuelewa kirahisi
na hiyo ni baada ya kuwa cnn wananyimwa nafasi kurusha taarifa za bongo
wanakuja watu wengi maarufu duniani lakini cnn haitoi habari lakini watu haohao wakivuka na kuingia kenya utaona habari inatoka kwenye cnn
tunaomba wana habari wa vyombo vya kimataifa wapewe nafasi bongo ya kurusha habari zetu.
Mdau wa 01:52 kenya lazima wapewe nafas umesahau uhusiano wa Obama na kenya?
ReplyDelete