Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dogo wa uswazi alifanya utabiri nini. Mbona ghafla kikatuni tayari?
ReplyDeleteYeeees!
ReplyDeletedogo wauswazi nazidi kukupenda! mbona machozi umeyaweka madogo madogo mpaka hayaonekani vizuri mwanangu? ungeweka na box la tissue hapo pembeni,, ha ha ha,,,
ahsante dogo wa uswazi kwa snepu mwafaka, lakini naona umechemsha kidogo, mara ingine usirudie kosa kama hili.
ReplyDeleteHakuna SIMBA mwenye rangi ya majivu bwana, Simba rangi yake ni NYEKUNDU KWA NYEUPE.
Hilo tu ndio doa, otherwise AHSANTE MKUU