KARIBU –WELCOME - KARIBU - WELCOME
IMANI MISSION CONGREGATION (LUTHERAN)
IMANI MISSION CONGREGATION (LUTHERAN)
MCHUNGAJI TUMAINI KALLAGHE
VIONGOZI NA WAUMINI WA IBADA YA KISWAHILI READING WANACHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA KWENYE UFUNGUZI RASMI PAMOJA NA KUSHEREKEA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA IBADA HII TAREHE 25/10/09 UTAKAOFANYWA NA ASKOFU JANA JERUMA GRINBERGA WA KANISA LA KILUTHERI UINGEREZA
IBADA ITAFANYIKA
ODD FELLOWS HALL
118b OXFORD ROAD
READING
RG1 7NQ
KUANZIA SAA 8.30 MCHANA (14.30PM)
“Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, ……
Neno la Bwana likaenea katika nchi ile yote”
Matendo:13:47 - 49
Ukishuka stesheni chukua basi nos: 16 or 15
kisha ushuke Waylene bus stop Oxford Road
For information:
Aljanes Rwiza (Baba Ian)
07900008211
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...