Home
Unlabelled
jackson mbando na martha walipomeremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi nimependa mkwara wako usoni hadi jamaa kasahau machejo.
ReplyDeleteANKO NANIHII, NDO KUSEMA UMEKUBALI KUWEKA CHINI UNIFOMU KWA AJILI YA MAONI YA WATU AU ULIKUWA HAUKO KAZINI. ( hapa inakuwa kati ya jua na mvua unapenda nini - kama ule wimbo) HAYA ENDELEA NA KUCHAPA KAZI. RAHA UNAPENDEZA KWA ZOTE UNIFOMU AU HIYO SUTI
ReplyDeletemichuzi kwa minuso!! mbaya!!!
ReplyDeletesasa michuzi hiyo suti si ndio ungemuazima bwana harusi?
ReplyDeleteHakuna lolote unataka tuu tuone hiyo suit uliyovaa...inaonekana ulipewa zawadi na wadau!
ReplyDeleteArusi za Bongo zimezidi uzungu siku hizi! Best wishes to the happy couple!
ReplyDeleteMichuzi picha ya kwanza bwana harusi ni yupi?
ReplyDeletehaya mambo yakuvaa kufanana na wapambe yanachanganya
KAKA MICHU, MBONA UKO UKO TU PEKE YAKO KWENYE MINUSO NA MAMBO MENGINE, SHEMEJI YETU VIP MBONA HATUMUONA NA WEWE!
ReplyDelete