Kaka Issa wa Michuzi, kwanza pole kwa libeneke la kutuletea news wabongo wote popote pale tulipo duniani, napenda kuwajulisha watanzania kuwa umoja mpya umeanzishwa ujilikanao kwa jina la TAFA - Tanzania Algeria Friendship Association. uzinduzi huu uliofanyika Msasani jijini Dar mwishoni mwa wiki na ulihudhuriwa na wazee mbalimbali kama Balozi Sykes, Dr Mshokolwa, Balozi Liundi, Balozi wa Algeria na wawakilishi wa mabalozi mbalimbali. bila kuwasahau wanafunzi waliopo likizo na walewaliohitimu masomo nchini Algeria. na Mdau Jumbe Chachu!
Balozi Sykes (Kulia) akiwa na mmoja wa waanzilishi wa chama hicho
Balozi wa Algeria nchini katika picha na wanachama wa TAFA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ebana aminia mzee mbeju,kwa info na pic pamoja sana..
    1,2,3, viva ATSA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...