Brother Mithupu habari za masiku..?

Usiku wa Jmosi wadau wa Wichita walipata nafasi ya kurushwa roho na malkia wa taarab Bi khadija Kopa. Things went great na wadau wa hapa tunapenda ku-share picha na matukio na wadau wengine wa globu ya jamii.

Wanaweza kuingia


kupata uondo huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. naona b mkubwa kala za uso

    ReplyDelete
  2. masikini imekula kwake

    ReplyDelete
  3. Du...naona ilikuwa kichekesho kwenye mahojiano,hapa Kanumba Prof.
    manake jamaa anaongea kimarekani,mara ya kwanza namsikiliza,nikasema,du jamaa anatema,manake nilikuwa sielewi...
    du kumbe alikuwa anaongea kimatumbi.

    Kwa nini wazungu wanatutesa na lugha zao????
    nasi tuwe tunazungumza kiswahili hata kwenye majukwaa makubwa.
    i hayo tu kwa leo.

    ReplyDelete
  4. Wichita ni Jiji au Kamji? Wabongo wa eneo hilo naomba mtembe kidogo halafu ndio mtofautishe. Nilipofika huko mwaka jana nilikuwa najiuliza niko Marekani au Tabora?

    ReplyDelete
  5. naona hayo manywele anafanana na yule irst lady wa cameroon...langu jicho tu.

    ReplyDelete
  6. mwe mwe mwe imekula kwake hiyo, sasa ndio mjue moja na moja ni tano!

    ReplyDelete
  7. Karibu Newyork tunakusubiri uturushe roho.

    ReplyDelete
  8. Wewe unaponda Wichita kwani upo wapi sasa kama ulirudi au ulirudishwa ni juu yako. Hamna aneyejali hapa hayo ni maisha yako na wengine huku nao wanaishi misha yao.

    ReplyDelete
  9. Vijiji vya huku ni miji mikubwa sana ya nyumbani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...