baada ya ambassador plaza a.k.a gogo hotel pamoja na makao makuu ya UWT kula nyundo hivi sasa limechomoza jengo hili ambalo linabadilisha kabisa mandhari ya barabara ya morocco rodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Kusema za ukweli hawaijakitendea haki kile kiwanja, hiko kiota kilitakiwa kiwe na ghorofa zaidi ya kumi na tano hivi

    ReplyDelete
  2. ...are we allowed to hang around its corridors, floors and rooms. Are we allowed to freely lean on the walls without risking being buried alive? And in the likely event that we are buried alive are arrangements for body retrieval, debris removal and insurance cover in place? Is the DPP aware of all this?

    ReplyDelete
  3. Anony wa 02:35,that was a great question..tsk..tsk ..and that applies to most of our buildings in the City.They could have done a much better job with office space amd business center,as the first Anony said hicho kibanda kinamaliza nafasi,wangeangusha kiberiti ili kuhamisha maofisi mjini,utapunguza traffic ya kwenda downtown,utasevu watu safari nyingi...as i once said,bring the Business to the people don't make the people travel for the Business.

    ReplyDelete
  4. Nakumbuka enzi ziiiiile niko primary nilikuwa nakuja mitaa karibu ya hii hotel kuokota mbegu za michongoma(ubuyu).Dah Shule za bongo bwana.Natumaini mambo ni tofauti siku hizi.

    ReplyDelete
  5. maoni ni sawa kabisa kwa kila mtu, lakini waha ndugu zetu wenye kubadilisha lugha na kutumia lugha ya wageni hali wanayo lugha yao ni utamaduni au ulimbukeni?ulimwengu wote kila nchi ina lugha yake ya taifa na wanaitumia ktk mambo yanamna hii.ili kuboresha zaidi lugha ,na sisi tupo na farahi kubadilishana mambo mbalimbali kwa lugha yetu kwakuwa tunachokizungumzia hapa kinahusu kwetu na tunayo lugha yetu kwa nini tutumie lugha ya watu wengine?

    ReplyDelete
  6. Wadau hiyo sio Hoteli wala kiota, hiyo ni ofisi mpya ya kampuni ya simu ya Zain...so Anon hapo you can lean however you want...its a wonderful world after all!

    ReplyDelete
  7. barabara ya morocco rodi????? barabara ni nini na rodi ni nini?

    ReplyDelete
  8. Anko nanihii acha kubana comments zenye ukweli

    ReplyDelete
  9. JENGO HILI LINA SURA YA MELI UKILIANGALI KWA MAKINI UKIWA UMESIMAMA KWENYE KONA YA JENGO LENYEWE.

    ReplyDelete
  10. Mtoa hoja wa 09:21.00am,Karibu jamvini,hizi ndio lugha zetu wenyewew tunazielewa wala hatushangai.

    ReplyDelete
  11. we anony wa Oct 21st 12:40 am,kama huwezi kusoma kiingereza hujalazimishwa,hii ni blog ya watu wote kwahiyo kila mtu ana haki ya kujielezea anavyojua yeye,kama ndio hivyo nennda mashuleni waambie wafundishe kwa kiswahili,kuanzia sekondari nakuendelea.mbona ukituma comment hapo chini inakwambia Your comment will be visible after owners approval[mbona hiyo husemi au hicho ni kindengeleko,so acha fitina na wivu wa kipumbavu nenda British Council kuna mafunzo ya English bure,usirudie tena kuongea pumba kama hiyo].

    ReplyDelete
  12. usijaribu kutukana watu kwa kufikiria lugha kigeni ndio elimu ,wewe ndio limbukeni tunaowazungumzia,hukukatwazwa kujieleza,fasihi ya lugha yako fahari kwako na taifa lako acha ulimbukeni mjomba kwani,unafikiri watu wakitoa comment hawakwenda shule,mimi nakuona wew mpuuzi sababu hujui hilo njoo ulaya uone kama kuna mtu anataka lugha ya mtu mwingine kila nchi utayo kwenda watu wana furahia lugha yao wewe yako ipi?

    ReplyDelete
  13. Kumbe ulitaka tujue uko Ulaya,sasa nani fala hapa mimi au wewe uaejiadvertise uko ulaya,naongea na wewe anony wa Fri OCT 23rd,02:34:AM.kama unaipenda nchi yako unafanya nini huko na unazungumza lugha gani huko [Dont tell me you speak Kiswahili huko,kwa sabababu you would be a lying Bastard].watu tushakaa mamtoni miaka bwena kaa 20 hivi na tukarudi home vilevile,I have the right to express myself in any language i choose even Chinese,if you don't like it DIG A HOLE & BURY YOURSELF.We could do this all day,kwa sababu siendi ku clock in kwa mtu kaa wewe...Capic?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...