Home
Unlabelled
salamanda kwishney
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalia Manguzo ya Stima yalivyosimama lakin hayana umeme.
ReplyDeleteMimi wanasiasa waniuzi sana has pale ambapo hawasikilizi ushauri wa wataalaam..Hivi huyu mbunge wa Mbeya ambaye amekataa tusinunue dowans yuko wapi??..Atupe umeme sasa ....Wananiuzi sana hawa viongozi wetu hewa...Kuongea tuuu na kung'ania mambo hayana mpango..
Wanataka kujenga nini sasa? they better come up with something worthwhile kwa sababu hapo no sehemu very crucial,mmmmh,how about a 20 storey Parking garage...i smell cheese either for the Investor or the City....think about it guys.
ReplyDeleteKwenda zako we anony wa 02:37 PM:
ReplyDeleteWewe utakuwa ushashikishwa usiuzwe kirahisi namna hiyo hata hizo generator zingenunuliwa still matatizo yangeendelea kuwepo maana capacity yake haifikii kiwango kinachoitajika sasa! na kwa taarifa yako hili limepangwa maana hizo generators hazichukui hata wiki mbili kama TANESCO na MAFISADI wako serious na kutatua swala la umeme hapa nchini!
Tujiulize tu Millenium Account imeenda wapi? swala hapa si kukosekana kwa hela swala ni kwamba serikali inataka kununua vitu vilivyotumika ambapo hamna guarantee kama vitakuwa bora! Enough is enough huu ujinga wa kuwatajirisha watu huku nci ikiumia ukome sasa! Sheria zifuate mkondo wake! Wacha tubaki na giza labda wananchi wataamka kusema enough is enough na serikali hii isiyojali ustawi wa maendeleo ya nchi hii bali matumbo yao!
Wewe anony wa 08:50 una mawazo ya kimasikini sana na ndio maana afrika itabaki kuwa masiki kwa watu wenye mawazo kama yako, nafikiri swala la umeme halikuathiri sana sababu huna uzalishaji wowote unaotegemea umeme.Unajua ni kiasi gani kwa nchi na mzalishaji mmoja mmoja anachopoteza sasa kwa kukosekana kwa umeme?
ReplyDeleteNi nchi gani itaisaidia Tanzania kupata mitambo mipya wakati enterim solution inayotayari. Sheria imewekwa ili ifae katika mazingira muafakwa na inabadilishwa ikiwa haitufai katika mazingira yale yale..unajua watanzania tujifunze kuona mambo kwa upana wake na umbali..usifikiri leo tu kwamba nikiweza kumzui Tanesco asinunue Dowans umeshindwa...hilo ni kushindwa kukubwa kwenye ubinafsi..
nilikuwa nimekuja vekesheni hapa L.A ya mwezi mmoja sasa sirudi tena sirudi nyuma mambo gani haya jamani?? yooote hii imesababishwa na ufisadi yani viongozi wa bongo ni waroho sana ebu oneni sasa nimesema sirudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDelete