anko na wapiganaji wenzie wakiwa na koffi olomide baada ya kutua bongo kwa mara ya kwanza miaka hiyooooo.... hapo anko anawakumbuka freeman mbowe (wa pili shoto mbele) na meneja wa kwanza wa billicanas ronnie mtawali (mbele kulia) pamoja na promota wa koffie olomide, tamukati ndongala (wa pili kulia mbele). wadau wenye data na majina zaidi msaada tutani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. John Lugendo wa ITV anayekufuatia

    ReplyDelete
  2. Majina zaidi ya nini?hawa wanatusaidia nini?huy koffi mwenyewe nana dili siku hizi,

    ReplyDelete
  3. Koffi?Koffi ndio nani? kwa watanzania,kwanini huu ulimbukeni wa kuwababaikia wabangu bangu utakwisha lini?sasa ndio kusema koffi ndio staa hapa kwetu au?
    tupe habari zinazo tuhusu.

    ReplyDelete
  4. wabongo jamani,bado tuna ushamba ushamba tu? yaani koffi hapa kawa mungu mtu au? kwani hakuna chohote cha kuandika.

    ReplyDelete
  5. wabongo mnaleta roho za korosho hadi kweli burudani? duuh noumaa!! yote hii inaonesha njaa kali,ukishiba huweza mchukia Entertainer.

    ReplyDelete
  6. we anon wa Oct 14,03:21:00
    Hapa hakuna roho ya korosho wala nini?pia koffi watu hawamchukii bali,koffi kajulikana kutokana na vianzo vya habari vya kikongo,ndio maana leo wakina misupu wanamjua.
    sasa kwanini?akina anko misupu nao wasiwatangaze Entertainers wetu wa kibongo???badala ya kila siku kurudia picha ya koffi mopao.
    tuache ushamba,na tusiaribu jina la blog ya jamii kwa kubandika vitu kama
    blog ya Bambataa

    ReplyDelete
  7. Sawa underground wakubwa tumewasikia...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...