Home
Unlabelled
kausafiri ketu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe acha tu! ngoja tung'arishe kagari ketu bwana. mwaka huu mtaa wa pili wameshinda tumechi tusaba tu, basi mtaani hakukaliki. ligi bado changa tu.
ReplyDeletedah!kaka umejuaje kagari ketu hako kanapendeza!
ReplyDeleterangi yenyewe inapendeza,si mnaona!
ReplyDeleteRangi gani hizo za kupendeza? Utafikiri Tea Blenders! Hujagundua hata Ulaya ni nchi chache kuna timu zenye rangi hiyo? Nyekundu na nyeupe ndio rangi ya soka!
ReplyDeleteMichuzi leo umedhihirisha ukanda mbili wako ukitunguliwa wacha kujidai wewe Pan Africa.Bakia hapo hapo kwaini kufungwa ni lazima mwaka huu.Na usijidai ati wewe ni Pan.Redio ya kushinda mechi sita mliyoweka mwaka jana imevunjwa.Bado mtalia sana mwaka huu.Timu isiyo na uhuru wa kuamua bali kila kitu kungoja Manji.Atakimbia mwisho wa mwezi huu.Wewe ngoje uone.
ReplyDeleteHii imependeza anko nanihii. Kaka Mwaipopo waache mtaa wa pili waheme nao, ila kama ulivyosema, ligi bado!
ReplyDeleteYanga Oyeeee!!!!
Kwa!
ReplyDelete