Home
Unlabelled
lebozzzzzzzzzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fail to remove the label on your suit after when you purchase it, is absolutely stupid. Why this is happening only if not the most to my fellow country men?
ReplyDeleteUnko umesema uko bpston au ulimaanisha Boston? Umependeza sana unko Michuuuu! Kweli hizi pamba zimekutoa. Ile fulanaz please naomba ukaitupe tu. keep up with the good pambazzzz!
ReplyDeleteMdauzz.
A-town.
Anko Mithupu mbona hupendi kutoa lebooz? au za kuazima unapewa na wenye maduka ili uwapigie promo....!?
ReplyDeleteMIE NAONA NI SAWA KUACHA LEBO, KAMA ILIKUWA NI YA KUTOA, ISINGESHONEWA,INGENING'INIZWA TUU.C
ReplyDeletelebozz!! suti tumejifunza kuvaa kutoka kwa wenye nazo! je wao wanaacha lebozz? eti kwa nini zinauzwa na lebozz? sasa ungejuaje nani mtengenezaji? ukienda kwenye maduka ambayo product zao ni kampuni moja kama ralph lauren n.k hardly utakuta lebozz!
ReplyDeletenarudi kwenye swali langu , je walioanza kuvaa masutizz waaacha lebozz kama ndio, basi powaa.
MICHUZI mambo ya leboooozzzii waachie wapiga mziki nguo huwa wanakodisha butikiii, na lazima wazirudishe , sasa wewe umeshasafiri sana umewahi kuona wapi mtu anaacha leboo kama sio mpiga mziki au mshamba kaanza kujua suti kazi akiwa kazini ,
ReplyDeletehizo lebo zinakusaidia wakati wa kununua tuuu,
Kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kuamua. Kichwa chako ndio serikali yako. Una uhuru wa kuchagua na kuamua.
ReplyDeleteHizo suti hazikubuniwa Bongo. Na sie tumeanza kuzivaa kwa wingi siku za hivi karibuni tu, tangu kipindi cha utawala wa Mzee Ruksa.
ReplyDeleteSasa braza Michuzi, unaposafiri na kuhudhuria shughuli za kitaifa, angalia iwapo utamuona mwenyeji wa Ulaya, Marekani, Asia, au hata Congo, Kenya, Malawi, Sauzi Afrika, Uganda, Zambia, nk. atakayekuwa ameiacha hiyo "leboz" kwenye mkono wa suti yake.
Huo utaratibu wa kuiacha leboz sio wa kistaarabu hata kidogo, bali wa kishamba. Na kwa kweli ni hapa Bongo tu ambao unafanyika.
Hata hivyo, nakutakia safari njema na urudi salama, preferably ukiwa bila leboz hiyo tunayoiona.
Mpinzani wa Leboz.
Naomba niwaunge mkono wapinzani wa lebozzz. Kuacha lebo ni ushamba...Nothing less nothing more. Alafu we michuzi umezidi kukosea maneno unapokuwa unaandika. Mfano hapo umeandika eti 'bpston' ndiyo nini???????? au ndiyo wapi huko??????? Unakoseaga sana ebu uwe unafanya editing unatupa shida kuelewa unamaanisha nini sometymz.
ReplyDeleteWabongo na mavazi, bwana.... Mavazi ni ya kusitiri mwili tu. Whether unaacha lebo au unaitoa, it does not matter. What matters ni kwamba umesitiri mwili. Ndugu zangu Watanzania tuna mambo muhimu ya maendeleo yetu na ya nchi yetu ya kufikiria. Tuachana na mambo ya mavazi. Kwa nini tunatumia muda mwingi hivi kwenye mambo yasiyo na tija? Wenzetu hawaongelei lebo kwenye suti, wanaongelea global warming, kuzuia another credit crunch in the future, ku-combat corruption etc etc. Priorities zetu ziko upside down, inside out...
ReplyDeleteNa mie pia mpinzani wa leboz!
ReplyDeleteInatuumizaga sie Wabongo wengine pale ambapo watu wa nchi nyingine wanapotuuliza "So why is your fellow-countryman still keeping the label attached to his suit's sleeve?".
Sasa leo nimelipata jibu zuri hapa.
Kuanzia leo nitakuwa ninawajibu: "Because it is a hired suit, and he has to return it like it was when he rented it, as he can't afford to pay to buy it".
Ama sivyo jamani?
Pole we michuzi na lebo zako
ReplyDeletenampinga alodai kua eti lebo imeshonewa hivyo ivaliwe bila kutoa, naomba nimsahihishe kua lebo imeshikizwa, haikushonewa, tofautisha kushonwa na kushikizwa, vile imeshikizwa ina maana inabidi uitoe wakati wa kuivaa. waTZ acheni ulimbukeni, toeni lebo kwenye suti zenu kabla ya kuvaa, sijaiona kwingine zaidi ya TZ.
ReplyDeleteHIVI WABONGO MNAUMIZA SANA VICHWAA KWA AJILI YA KUVAA,HEBU MSOMENI HUYU PROF.NYAZAYA WA CHUO KIKUU CHA LAGOS ANAVYOSEMA KUHUSU MAVAZI"we all love to spend lots of money on buying new clothes ,but never realize that THE BEST TIMES ARE ENJOYED WITHOUT CLOTHES"
ReplyDeleteMavazi sio kusitiri tuu kama ingekuwa hivyo basi angevaa rubega basi.
ReplyDelete