Kampuni maarufu ya Shear Illusions ambao ni wamiliki wa Maduka ya Nywele na Vipodozi yaliyopo hapa Dar na A-taun wameanzisha libeneke la jariba bomba kabisa la urembo la Shear Hair and Beauty Magazine ambalo litakuwa mitaani nchi nzima kuanzia wikiendi hii. wadau wa urembo na vipodozi kazi kwenu, habari ndio hiyo

mwanza mtaweka duka lipi/mtaa??
ReplyDeleteHIYO SHEER IKO WAPI ARUSHA MAANA NAKUMBUKA ILIKUWA SHOPRITE COMPLEX IKAFUNGWA SS TUAMBIENI IKO WAPI MAANA TUNAPATA SHIDA YA NYWELE SANA PLZ PLZ PLZ PLZ
ReplyDeleteShear Illusions duka lake jipya liko Njiro Complex (Cinemas) ndani ya jiji la A-Town.
ReplyDeleteMwanza Gazeti Ltakuwepo mtaani soon! angalia kwa wauza Magazeti wako mtaani na Supermarket's! Dar es salaam limesha hit the street tayari! kwa supermarket zote.
ReplyDelete