Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wa kijiji cha Butiama wilayani Musoma katika mkoa wa Mara wakifanya mazoezi ya halaiki kwa ajili ya maandalizi ya kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru. Sherehe hizo zitafanyika katika kijiji hicho siku ya jumatano.
heka heka za maandalizi
vijana wakiendelea kujiandaa
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Butiama wakiangalia albamu zenye picha za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere walipotembelea banda la Idara ya Habari (Melezo) wakati wa maonyesho ya wiki ya vijana Tanzania yanayofanyika katika kijiji hicho. Maonyesho hayo yanakwenda sambamba na kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Mwalimu Nyerere na kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru yatakayofanyika jumatano wiki hii.
Picha na Anna Nkinda wa Maelezo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...