Mwanamuziki AY akisalimiana na mashabiki wa muziki mjini Nairobi alipokuwa kwenye tuzo za Zain MTV Music Award zilizofanyika mwishoni mwa wiki.AY alikua mmoja ya washindani katika upande wa Hiphop ambapo Imani kutoka nchini Kenya aliibuka mshindi wa tuzo hio
Mwanamuziki AY akisalimiana na mashabiki wa muziki mjini Nairobi alipokuwa kwenye tuzo za Zain MTV Music Award zilizofanyika mwishoni mwa wiki.

Shaa (kulia) na mmoja wa wanamuziki kutoka kundi la Blue three wakiwa na mavazi yakufanana katika tuzo za Zain MTV mjini Nairobi ambako Shaa na AY waliiwakilisha Tanzania katika tuzo hizo.

AY akiwa anahojiwa na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuingia katika tuzo za MTV Music Award zilizofanyika nchini Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki

Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.Sha alikua mmoja ya wanamziki aliechaguliwa kushinda tuzo hiyo amabpo Dibanj kutoka Nigeria aliibuka mshindi.
Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inasikitisha kuona kila siku sisi wabongo ni watu wa kwenda kuwakilisha nchi tu na si kushindana. Bila ya determination, focus na hard work itakuwa ngumu kupata ushindi wowote ule hata kucheza karata, tutaendelea kulalamika kwambwa wenzetu wanapendelewa.

    Tusipoachana na hizi lugha za tumejifunza, tumejaribu, tumewakilisha vizuri, tumepata challenge ....its time to work up na kuamini kwamba IT IS POSSIBLE na kutoa fursa kwa upcoming talents pia sio kila siku majina haya haya ...

    Tunahitaji mindset surgery kufika huko tunapoelekea...

    Ni mimi Maliaga:

    ReplyDelete
  2. poleni kushidwa lakini hongera kwa kuwakilisha.

    ReplyDelete
  3. Jamani mimi nauliza hawa wanamuziki Shaa na AY wanaimba miziki gani maana nimejaribu kuwaangalia kwene youtube sijawaona....sijui mnaweza kunielewesha maana wengine tupo mbali kidogo na nyumbani tungependa tujue habari za miziki ya nyumbani inaelekea hawa ni wakali kweli.....

    ReplyDelete
  4. GATUSO_DIMBAOctober 13, 2009

    NI SAWA KABISA NA MAONI HAYO YALIYOTANGULIA HAKUNA LA MAANA LINALOENDELEA, TUMEJITAIDI TUMEWAKILISHA VIZURI HIZI LUGHA SI NZURI EMBU SEMA UKWELI KABISA MAMBO YA SIASA YANII? HATA KWENYE BURUDANI AU MNAPEWA KITU KIDOGO KUANDIKA AU KULAINISHA LUGHA, SIPENDI MIE KAKA KAMA MTU KASHINDWA KASHINDWA 2, KASHINDA KASHIDA TUFANYE HIVO ITAKUWA MZURI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...