Mchezaji wa mchezo wa Bao wa Wizara ya Maliasili na Utalii , Kana Jongo ( kushoto) akitandaza kete wakati wa mchezo wake na Raymond Mpambarike ( kulia) wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo katika mchezo huo uliofanyika jana ( Okt 29) , Jongo alimshinda Mpambarike.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana. ninawapongeza wadau wanaoendeleza michezo ya jadi kama hii. tunaweza kuiendeleza hadi kushindaniwa katika kiwango cha kimataifa. kama hakuna nchi nyingine zinaoujua basi sisi tanzania tutakuwa mabingwa wa dunia kila mwaka kama wamarekani walivyo mabingwa wa dunia wa kudumu wa mchezo wao ule wanaita "american football"!!!!

    ReplyDelete
  2. mchezo mzuri.unasaidia mental power ya kufocus mbele kama draft na chess.planning ahead,'nitazilaje kete zileeee'hahaaa sio karata yani bahati bahati tuu ndio maana kunakugamble na poker.....
    mdau uk

    ReplyDelete
  3. "this is chess not checkers", mzee denzel alimwambia yule muzungu kwenye 'training day'. Sijui huu mchezo ulimsaidiaje mwalimu alipokuwa anapambana na kina henry kissinger. Alituambia 'let's run while they walk', sijui wangapi tulimuelewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...