Home
Unlabelled
michezo ya jadi shimiwi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana. ninawapongeza wadau wanaoendeleza michezo ya jadi kama hii. tunaweza kuiendeleza hadi kushindaniwa katika kiwango cha kimataifa. kama hakuna nchi nyingine zinaoujua basi sisi tanzania tutakuwa mabingwa wa dunia kila mwaka kama wamarekani walivyo mabingwa wa dunia wa kudumu wa mchezo wao ule wanaita "american football"!!!!
ReplyDeletemchezo mzuri.unasaidia mental power ya kufocus mbele kama draft na chess.planning ahead,'nitazilaje kete zileeee'hahaaa sio karata yani bahati bahati tuu ndio maana kunakugamble na poker.....
ReplyDeletemdau uk
"this is chess not checkers", mzee denzel alimwambia yule muzungu kwenye 'training day'. Sijui huu mchezo ulimsaidiaje mwalimu alipokuwa anapambana na kina henry kissinger. Alituambia 'let's run while they walk', sijui wangapi tulimuelewa.
ReplyDelete