Elizabeth
Mambo yaonekana kuendelea kunoga siku hadi siku na safari hii mwakilishi wa Tanzania Elizaberth Gupta amewekwa kikaangoni..yaani anapigiwa kura ya kutoka..
shime watanzania tumuokoe mwakilishi wetu asitolewe kwa kumpigia kura kwa kutuma sms kwa wingi.

kwa kuandika neno VOTE ELIZA
kisha tuma kwenda namba 15726
au unaweza mpigia kura kupitia mtandao huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. This is Mwanza again! Anajitahidi sana dada yetu. Nakuunga mkono kura zetu watanzania zinahitajika sana kumuokoa.

    ReplyDelete
  2. wadau sijaelewa jinsi ya kumpigia kura dada yetu,maana nimebofya hapo mlipoelekeza sijaona sehemu ya kuvote,na je namba hiyo ya kutuma sms bila kuweka kitangulizi cha namba yoyote?,namaana kwamba huku niliko nikitaka kupiga simu bongo naanza na 00255 je huko naanza na namba ipi?,nadhani nimeeleweka vizuri naomba msaada,tumuokoe dada yetu

    ReplyDelete
  3. jamani ni rahisi nimeingia kwenye hiyo website na kupata udername na password nimevote jamani we can all do it

    ReplyDelete
  4. Hivi unaposema anajitahidi unaangalia nini hapo. Na asiyejitahidi anafanya nini humo kwenye jumba.

    ReplyDelete
  5. kweli tumpigie kura huyu dada anatuwakilisha vizuei hajakuwa na tabia ya kutoa penzi ovo kama yule aliye pita mwaka uliopita ndo kujitahidi kwake niliona

    ReplyDelete
  6. Kwa walioko nje ya Tanzania, andika msg VOTE Elizabeth kwenda number +2783142100414

    ReplyDelete
  7. Mdau wa kwanza,huo ndio ukabila alioupinga Baba wa Taifa mwalim nyerere.watanzania hatujitambulishi kwa makabila au maeneo tunayotoka,ni watanzania tu.Mie ndo leo najua anatoka mwanza sababu sikua na sababu hiyo au matanzania yeyote hahitaji hilo kulijua,kwa hiyo mwakani na wahaya wapiganie aende mtu wao?au wamakonde wasipopeleka mwakilishi nao wasipige kura.i hope this will change ur mind and support all Tanzania in the race against UKABILA,Yasije yakatukuta ya jirani zetu

    ReplyDelete
  8. mambo gani big brotha ya mwaka huu hata shower time hamna.wizi mtupu hata kama akitoka atoke tu!!

    ReplyDelete
  9. Shime wabongo, tupeane support popote ili tung'ae zaidi na kuitangaza nchi yetu.

    Tumpigie kura ndugu yetu Eliza

    Amen

    ReplyDelete
  10. We anony wa kwanza,what do you mean by...this is Mwanza again..eeh,peleka your tribalistic mind sehemu nyingine.hapa Bongo hakuna cha huyu Mmwanza au Mmdodoma au Mmwewe,sijui umekulia wapi wewe?didn't your parents teach you not to label people...ushaniudhi sasa ndio siVote kabisaa...avotiwe na Sangara wa Lake Victoria.

    ReplyDelete
  11. Anony wa kwanza mkabila sana. Eliza beth ameishi tu Mwanza lakini baba yake Ni mchanganyiko wa muhindi na mnyakyusa. Mama yake ni Mnyisanzu wa Singida.
    Wanyakyusa na Wanyisanzu ndio wajivune sio wewe Msukuma.

    ReplyDelete
  12. dada analipa kishenziii uyu mtz

    ReplyDelete
  13. MICHUZI NAOMBA UTOE KIKOMENTI CHA KWANZA KINANISABABISHIA CHUKI DHIDI YA HII BLOG MAANA IMEACHIA SANA MASENENE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...