October 23, 2009
Dear His Excellency Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,
May you follow up the discussion below? Thank you and I look forward to your response...
Hi Eric,
Hii issue ni nzito kidogo na najua italeta debate kubwa kama at all itakuja kupitishwa na kukubaliwa na key decision makers at a later period. The strategy is to reward those who pay back their debts with lower interest rates; sio kuwaweka watu wote kwenye kundi moja na kuwacharge higher interest rates kwa sababu ya watu wengine.
This system iliyopo sasa ina discourage wanainchi wengi kukopa; ndio maana wahindi wanaendelea kwani wanakopa wakiwa wanajua mambo yakiwa mabaya, they can leave the country and go elsewhere.
Kwa mbongo, that's home. This is one of the reasons why serikali inakataa dual citizenship kwa wananchi! Kwahiyo, inakua ngumu kidogo kufika uamuzi wa kukopa sana cuz the interest rates are unbeatable in the streets! Mtu hawezi kukopa at 20%, wakati in the streets anapata return ya 10%. It does not make business sense there.
Collateral works best for bigger loans and literally every loan ila kwa vitu kama magari, huduma za muhimu when sick au kulipa ada ya shule huku unafanya kazi etc inabidi our financial institutions kuwa more competitive in processing loan applications at a faster rate.
Credit Scores do not guarantee kuwa mtu atalipa; ila ina reward those who pay their bills on time with better interest rates! Na Wale ambao hawalipi, they are reminded to pay to rebuild their credit ili wapate interest rates nzuri. I think, in my opinion, this is the only way to solve this crisis na utapeli (frauds) usiokuwa na mwisho TZ.
Other trends used now like physical addresses, referral checks, even collaterals haziguarantee kama mtu atalipa pia! Unajua handling money is purely psychological in nature. Mtu anaweza kuwa na shamba na nyumba ambayo haithamini na kuiwekea collateral kwani the true values of such assets inategemea na market conditions!
Say, naweza kuweka collateral nyumba Mbezi Beach na mafuriko yakatokea au nyumba ikachomwa moto, mtu akaondoka na mkopo na banks zikashindwa kupata hela zao. Since matatizo au mahitaji ya hela hayaishi, credit scoring system inamfanya mtu alipe hata kama hataki kwani akitaka kurudi akiwa na shida, atakutana na interest rates za ajabu! Hapo ndio watu watakua wanalipa.
The idea is: PUNISH THOSE WHO NEED TO BE PUNISHED AND REWARD THOSE WHO NEED TO BE REWARDED IN A CIVILIZED MANNER!
Regards,
David

...they call it swanglish...
ReplyDeleteHii ni swanglish kweli,hoja nzuri lakini kwa maoni yangu ungetunia kiswahili kwa asilimia 100 ili mlengwa ambaye ni Mtanzania halisi aweze kuelewa na kufaidika.Maoni yangu tu.
ReplyDeleteBwana David, IDEA YAKO NI NZURI SANA. NA NINATAKA KUKUHAKIKISHIA HILO SWALA LIMEISHASHUGHULIKIWA NA SERIKALI NA LIKO KWENYE FINAL STAGE YA KUFUNGUA KITENGO RASMI. Ingawa Credit score au Credit reference ni hatua ya pili, cha kwanza serikali itaweka CREDIT REFERENCE AGENCY ambayo hii iutakuwa inamiliki data zote za watu, ili ma bank yatakapoanza kufanya credit check au score wataweza kupata data toka kwenye hiyo agency.
ReplyDeleteHili swala ni la kwa watu wenye upeo kidogo au elimu. Nafikiri si rahisi raia yeyote tu hasa afrika aelewe mara moja. Na ndiyo maana unapata watu wanatoa comment zisizo nz tija.
Tumia muda zaidi kuwaelimisha kwa lugha rahisi nini hasa unachozungumzia, asante.
Idea ni nzuri sana ila utakelezaji wake Tanzania itakuwa mgumu kidogo. Hii system ni ya Marekani na inafanikiwa kwa sababu tayari kuna mambo flani tayari yapo wazi. Kwa mfano jinsi ya kumtambua mtu, sisi hapa vitambulisho tu bado ni kimeo. Mtu anapoishi hata namba ya nyumba haijulikani. Tuanzie kwenye vitu vidogo kwanza ili tuweze kufika hapo
ReplyDelete...just how credit scoring (CS) will force determined fraudsters to repay loans is beyond me! Probably it is best to start by looking at the concept itself - what it means and how it builds up in a business society. For an individual or a business entity CS represents a measurement - typically a numeric metric defining that indivudual's creditworthiness. For the lender, it measures the risk of recovering or not recovering the loan. Obviously, its magnitude will help the credit manager make a decision on whether or not to authorise a loan to, say, Ms X and not to Mr Y. A CS model builds purely upon data attributes associated with the (potential) borrower and the varibles may be as simple as gender, age, years on a job, type of job, income, number of children, home ownership but the most important ones will usually relate to the potential borrower's past behaviour with money. Hence, there will need to be historical data (regularly updatable) for each of the loans or financial transactions carried out over time. Without going into the infrastructural intricacies of maintaining such a database - I would simply like to highlight a number of issues one should consider prior to embarking on a CS scheme. Firstly, keeping track of individual records is a major challenge even in the developed world - probably Dave may help us with info on how many people change addresses and identity in the US or elsewhere to beat the CS network.That being the case, it is beyond me just how CS will motivate a determined fraudster to repay a CRDB loan! Where CS works properly, loans of a few thounds of dollars/pounds/euros/yen will typically not require a collateral - that would be good news for me here in Musoma if I plan to strike it rich and disappear into thin air. In a country as polluted with corruption as ours CS will struggle to get off the ground. Yes, as a textbook practice it can be enjoyed across the country - UDSM, IFM, Business College, Tumaini - but surely, the trust the commercial banks are going to have to rely on (sadly for many years to come) is judgemental and collateral.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania...
Kama hii credit rating system itaanzishwa bongo kabla mambo mengine hayajarekebishwa tujiandae kwa chaos. Kuna watu wanachukua mikopo kwa majina ya watu wengine, migogoro ya viwanja bado ipo mingi tu, kufoji vyeti na vitambulisho ni kitu kidogo. Matokeo yake wataumizwa watu wengine.....ni idea nzuri lakini mazingira ya kufanikiwa inabidi yaandaliwe otherwise hata hiyo system ya credit check itakuwa corrupted.
ReplyDeleteKwa kumalizia, tuwe makini tunapocopy na kupaste system hiyo ya marekani, kwa sababu na yenyewe haiko fair tunavyofikiri....
An interesting concept but did not like the racist remarks on asians!I too am an asian who is proud bongo, struggling to make ends meet and should this concept be adopted,I will definetly apply for it!
ReplyDeleteStop racism, afterall, we too are humans and did not drop out heaven in Tanzania...there are a few culprits in every race..but do not condemn the entire community or race!!
Ndugu yangu uliyetoa comment nmakusema MUNGU IBARIKI TANZANIA, inaonekana hufahamu vizuri maana umecopy definition ya kwenye kitabu alafu kibaya zaidi unataka kujifanya unaelewa kupita kiasi.
ReplyDeleteKila kitu kina mwanzo, lazima mwanzo utakuwa mgumu kwani hakuna jambo unaloanza likaendelea vizuri tokea hatua ya mwanzo. Hata biashara siyo hivyo. WEWE UNASEMA HII SYSTEM NI YA MAREKANI! MBONA UNATIA AIBU HIVI? HII SYSTEM NI INATUMIKA KOTE IN DEVELOPED COUNTRIES.....!
Kwakuwa upeo wako ni mfupi ndiyo maana unaona itakuwa ngumu kwa Tanzania,ila nachotaka kukwambia hii system kwa njia moja au nyingine inatumika Tanzania, hata kama siyo kwa level inayotakiwa.
Bank TZ hawawezi kukupa loan na rate sawa na mteja wao ambaye wanamjua kwamba ni honest na wameishafanya nae biashara mara nyingi! Kwahiyo wewe mgeni ndiyo utapachikwa rate kubwa kuliko yeye mwenyeji wao. SASA HIYO NI NINI?
KWAKUWA NA DATA BASE ITASAIDIA HATA WEWE AMBAYE HUNA ACCOUNT KWENYE HIYO BANK KUWA NA UWEZO WA KUPATA RATE NZURI KWANI WANAWEZA KUPATA DATA ZAKO TOKA MUSOMA KAMA ULIVYOSEMA UNAISHI! AU SEHEMU YEYOTE YA NCHI....................................taratibu tutafika siyo lazima tuanze kwa kukimbia ndugu zangu.
Usomi siyo kutoa definition za kwenye vitabu,ila nikutumia ule utaalamu na kuuweka kwenye mazingira yako ya kazi na unayoishi. La sivyo tutabki kuwa wajinga hata kama umemaliza elimu yako!
TUACHE KUWA WAOSHA VONYWA KAMA WATU WANAVYOSEMAILI MRADI USEME!
...mchangiaji wa 12:00 anachanganya mambo. Moja, hapana sehemu niliyosema kuwa hii ni system ya marekani na sijui hiyo definition ya kitabuni kaiona mstari gani katika maelezo yangu! Pili, ni kweli kwamba kila benki ina utaratibu wake wa kutoa mikopo na kwa hakika kwa mteja anayeaminika atapewa mkopo kirahisi na kwa masharti nafuu kuliko yule wasiomwelewa vizuri. Kwa maana hiyo tunajua wazi kuwa hata babu zetu walikuwa wakitoa mikopo kwa kuzingatia hayo - kitu ambacho kina maana kuwa CS haiukanza leo.Kinadharia kila mtu, benki au shirika wana CS ya namna moja japo isiwe rasmi.
ReplyDeleteRasmi ni ipi? Ieleweke kuwa CS iliyozungumziwa na mchangiaji wa mwanzo - na ambayo tunaielewa kisasa - ni modo ya kimahesabu ambayo inahitaji mazingira na miundombinu ambayo hatunayo. CS ni mfumo wa kutabiri mienendo ya mteja kabla hajaenenda hiyo. Falsafa yake ni sawa kabisa na inayotumika katika tiba au katika mifumo mingine yoyote ya utabiri kutumia takwimu. Kwa maelezo yako kuwa sijafahamu vizuri - na sina hakika kama unanizungumzia mimi au mwingine - ningeomba utupe maelezo yako ambayo si ya kitabuni. Naomba nikujulishe tu kuwa ninafahamu vizuri mfumo huo unavyofanya kazi na matokeo yake nayajua sana. Niliyoayaandika yanatokana na ufahamu huo na siyo kitabuni.
Mungu inariki Tanzania.
...naomba kuongezea kuhusu kauli ya mchangiaji kuwa:
ReplyDeleteBank TZ hawawezi kukupa loan na rate sawa na mteja wao ambaye wanamjua kwamba ni honest na wameishafanya nae biashara mara nyingi! Kwahiyo wewe mgeni ndiyo utapachikwa rate kubwa kuliko yeye mwenyeji wao. SASA HIYO NI NINI?
...sijui kama unajua kuwa lengo la CS si kumpa mteja ambaye tayari wanamjua au wamefanya naye biashara muda mrefu, bali kumpa mteja MPYA mwenye attributes kama za huyu wanayemjua. Ni kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kumpa mteja ambaye atakimbia au watafaidika kwa kumpa mteja ambaye atawalipa. Hapa unazungumzia wateja wapya ambao maamuzi ya kuwapa au kutowapa mikopo yanatokana na uzoefu ambao benki imeupata kutoka kwa waliopita.Hebu fikiria umeanzisha benki leo na hujafanya biashara na yeyote - ni vipi utafanya maamuzi hayo? CS itatumika hapo kwa kununua takwimu kutoka vyanzo mbali mbali - au kutumia uamuzi wa wenye madaraka.
Mungu ibariki Tanzania. Tafadahali tazama vizuri kuwa hakuna kauli kuwa huu ni mfumo wa Marekani au kungineko. Babu zako waliutumia lakini sidhani kama unataka tuutumie waliotumia babu zako leo karne ya 21!
Asante kwa kunijibu anon wa mwisho, mimi ni anon wa Sat Oct 24, 05:21:00 AM.
ReplyDeleteNi muhimu sana kwetu kuweka vipaumbele kwenye maendeleo yetu. Naamini watunga sera wa nchi yetu wanaelewa hiyo kujua misingi ya kuanza kujenga ili kufikia kuwa na system fulani. Sina wasiwasi nao katika hilo.
Mimi binafsi sikupinga concept hiyo in a general sense, nilichoelezea ni level ya rushwa na fraud iliyoshamiri katika kila sekta ya nchi. Kuongeza mzigo kama huo wa credit check kuna uwezekano itazidi kutonesha kidonda badala ya kuponesha. Kitu pekee inachoweza kusaidia ni kuwajulisha watu ambao majina, account na mali zao zimetumika na watu wengine kujipatia mikopo, especially pale watakapokwenda wao kuomba na kukataliwa (otherwise kwa utaratibu wa sasa hivi, mtu unaweza usijue kabisa).
Umesema hiyo system ipo kwa kiwango fulani na kutolea mfano wa mabenki na wateja wao. Hiyo ni kweli, na ni obvious. Alichokuwa anapropose mwandishi wa kwanza ni nationwide system ambayo itakuwa ni sawa kati ya benki na benki,kuna tofauti kubwa hapo.
Ningeweza kuchambua kwa upana hiyo credit rating na mapungufu yake kwa jinsi ninavyoona mimi, lakini nitaacha hayo majadiliano kwa wakati mwingine.
The way i see it,inabidi tuanze na Identification System,hilo ni jambo muhimu kuliko yote na litarahisisha mambo mengi sana.kama alivyosema Anony mmoja...Tracking someone in Bongo is very hard...Address zetu mpaka leo ni Kuku anakula mtama,baa ya kwenye kona,kwa mama fulani [jee huyo mama fulani akihama hapo,,what's next?],National ID is the answer to a lot of Problem's including the above mentioned...na msiseme eti tumia lugha yako,nina uhuru wa kuongea hata ki-Russia kwa atakaye kuwa na interest,it's a free Country...ni hayo tu.
ReplyDelete