
imeandikwa kidanish unaweza
kuitafsiri kama nilivyojaribu mimi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
4 has recommended this article
ReplyDeleteMother of two killed by Machete-blow in the face It was ten blows from a machete and plug with a serrated kitchen knife in his face and scalp, which killed the mother of two children who were killed Monday afternoon in an apartment on Skovly gate in Holte. It came out in preliminary hearing in the Court Lyngby of the deceased woman's 35-year-old husband Tuesday afternoon. The Tanzanian man was remanded in custody for four weeks.
The 35-year term even refused to speak in court, but prosecutor Christina Scharling særledes described a bloody killing. She explained to the court how a witness who is a friend of the couple from Holte, found the deceased woman lying on the floor with your upper body in the kitchen and legs stretched into the bedroom.
The woman had a bloody scarf and a cord wrapped around his neck. Besides, she had 10 violent huglæsioner the face and scalp, and forensic medicine were subsequently able to establish point-shaped bruises to both eyes as a sign of suffocation. The floor of the couple's kitchen was covered in blood, thinking there was blood on the walls, and on the kitchen table beside the sink was a blood soaked machete and a serrated kitchen knife.
Related articles
ASANTE KWA KUTULETEA UJUMBE HUU LAKINI PIA UNGEWEZA KUIACHIA KOMPYUTA YAKO IFANYE KAZI YA KUTAFSIRI, HATA HIVYO ASANTE. TAFSIRI ILIYOPO KWENYE MAONI IMEFANYWA NA KOMPYUTA.
ReplyDeleteati kwa habari kamili bofya hapa hicho kidenish tukisomeje wakati ni maruweruwe bin kizunguzungu?
ReplyDeleteMnegela jina lake, ni kweli hawa wasukuma wanatia haibu sana apa Dk ona sasa walichokifanya kwaaajili ya kuendekeza pombe??
ReplyDeleteSabina pole sana hatukujua kama una kaka Muuaji
Marekani, Watanzania wanaua watoto wao. Denmark, Watanzania wanaua wake zao. Kinachofuatiwa ni tutakuwa tunanyimwa visa za kwenda nchi za watu. And thats the fact.
ReplyDeleteThey described him as a Tanzanian, but chances are that he had Danish citizenship. That's western media for you, they will condemn him and paint him as insane/heartless/outsider even before the court had found him guilty.
ReplyDeleteIt's a sad story though. it's a cruel, cruel world. Killings, lies and all other forms of cruelty are the order of the day. We seem to be living in medieval times, even with all these technology innovations around us.
Maruweruwe tu watanzania wa uko, tuleteeni habari zaidi na ikiwezekana picha ya uyo muuwaji maana kehso asije akaja apa tz na kuowa kumbe yeye ndie muuwaji, mtusaidie sisi wenzenu tuliombali.
ReplyDeleteSamahani sahihisho kidogo. Ni kwamba ameua mke na sio watoto. Watoto walikuwa shuleni.
ReplyDeleteJamaa ana URAIA WA DENMARK SI MTANZANIA TENA SASA WAO KUANDIKA MTANZANIA NDIO MAANA YAKE NINI? WAO PIA WANAUWA HUKU TANZANIA NA GUN HAWAANDIKWI MUDA NA WAO WA KUANDIKWA. DS
ReplyDeleteIna sikitisha mnogela msukuma mpiga ngoma wa bujola yani mwaza kitendo alicho kifanya kina sikitisha sana tena sana kumchija mkewake yani huho niufisadi mkubwa tena sana sana
ReplyDeleteReport Abuse
mdau uliyesema MNEGELA NA SABINA HAWA NI NDUGU ZANGU TAFADHALI NAOMBA UMWAMBIE SABINA TUWASILIANE KAMA MNEGELA ALIANZA POMBE BASI TUTAFANYA NINI MPE e-mail yangu hii tmsemakweli@yahoo.co.uk kama yeye ndiye mtoto wa ngwana mirundumo kusema nitafurahi nikimpata niko huku u.k
ReplyDeleteJamani, wa-Tz tunapopata nafasi ya kuja kuishi nchi za watu hasa wanapokuwa katika mahusiano ya ndoa tujitahidi kuishi katika maadili yetu ya Kitanzania. Uchunguzi wa haraka unaonyesha kuwa wanandoa wengi wanaoishi nje ya nchi wanaburuzana mno katika ndoa zao. Upendo wa kweli umefutika na kiburi baina ya wanandoa ndio kinaota mapembe na matokeo yake ni chuki kubwa baina ya wanandoa hao. Mwisho wake wanandoa hao huchanganyikiwa na kujijutia kuwepo katika mahusiano. Watu wanaiga tabia za kizungu sana na kuzipeleka kwenye nyumba zao na matokeo yake upendo unafutika na inakuwa ni mwendo wa kuburuzana tu. Na sheria inawatetea sana wanawake kiasi kwamba mwanamme anafika mahali anachanganyikiwa kabisa hasa pale ndoa inapofikia pachungu. Poleni sana wanafamilia wa wanandoa hawa.
ReplyDeleteAfungwe huko huko DEn... wabongo hatutaki kumsikia....
ReplyDeletehabari zaidi pata kutoka Source: watanzania.dk
ReplyDeleteThis is a very sad story,mimi niko
ReplyDeletemarekani,watanzania walikuwa wanasifiwa kuwa ni watu wazuri, siku hizi ni wezi, na drugs haya
mombo zamani ni za wanaigeria
wakaingilia wakenya, sasa ni watoto
wetu,wamekuja huku na lottery
green card ukifika huku, hakuna kazi ya maana pesa hakuna, halafu
stress inaingia,it is really sad
27-year-old mother of two chopped to death with machete by her Tanzanian husband
ReplyDeleteSource : Watanzania.dk
Posted by: Webmaster on 30-Oct-2009
Anne Holmstrøm, 27 mother of two girls, one and three years old, was slain with a 40 inch long machete by her husband, 35. The husband who comes from Tanzania and Anne met in 2002 during a trip to the country.
The suspect is now in police custody. In his statement to the police, the suspect has claimed that he cannot remember anything, but on a phone call to a friend three hours before his arrest, he confessed to killing Anne with the machete, that they received as a wedding present.
According to bt.dk, Anne Holmstrøm had left her husband because he cheated on her during a vacation in Tanzania last summer. He had also threatened many times to beat both her and her children to death.
Deputy Police Superintendent Henning Svendsen told bt.dk that the police knew about the threats, but Anne did not want him arrested or given a restraining order because she did not believe that he would get serious about the threats.
Anne had moved to her parents’ house but on the weekend of murder had gone back the apartment she shared with her husband. The couple's two children who are being taken care of by Anne’s parents were in kindergarten at the time of the slaying.
The murder was very brutal. The entire kitchen floor in the 61 square-meter apartment in Skovlyporten was covered with blood including all the walls. The bloody machete was found on the kitchen table in the apartment in Holte together with a bloody serrated kitchen knife when the body was found.
Anne Holmstrøm had apparently just entered the apartment when she was killed. She was still dressed in raingear, as the murderer, according to forensic experts, struck her at least 10 times in the face and scalp with the machete.
At around 15:15pm Monday neighbors heard a scream from the apartment and later in the day both a neighbor and the police were phoned by friends in Sweden who were worried about her. The husband had apparently called friends in Sweden and informed them that he had "done something foolish".
Later a neighbor went to the apartment and found Anne’s body. The police were already on the way to the apartment and arrived a few minutes later. The accused was gone by the time the police arrived. After an intensive search, the husband was arrested at Tagensvej in Copenhagen. At the time of his arrest, he was armed with a large butcher knife, but he did not resist arrest.
This is so sad. RIP mamie! May God rest your soul in peace. Muuaji- Jua kwamba kila mtu atahukumiwa kwa dhambi zake. I feel sorry for you bro! You need to kneel down and pray harder. How do you feel when you look at your own kids? Is it fun raising them without thier mom? Thats tough life right there..!!
ReplyDeleteBAADA YA KUKIMBIA UMASKINI NA KUFANIKIWA BADALA YA KUISHI VIZURI UNAKUWA MACHO JUU JUU, UNAJUWA WAZUNGU NI WACHACHE SANA WANAOVUMILIA CHEATING, ONCE YOU DO THEN IT IS OVER, SEX OUTSIDE YOUR MARRIEGE HWAVUMILII KAMA SISI, WESTERNERS NORMALLY THEY NEED REAL AND TRUE LOVE NOT CHEATING, THEY CAN'T STOMACK IT KAMA SISI WA-AFRIKA YOU CAN CHEAT MILLION TIMES AND STILL YOU WIFE CAN PUT UP WITH IT, WAZUNGU NO WAY
ReplyDeleteHeee Nyie vipi??? hivi kwa vile ana ucitizen wa Denmark ndio hamtaki aitwe mtanzania...kwa taarifa yenu uwe naturalized citizen hawafuti original country yao kwenye file kabisa. Na siku hizi USA ufanye makosa ya ajabu hawakukawizi(kuna mtu yuko kitita mbele kwa kupiga mkewe) sasa hivi yuko kwenye deportation case na ni citizen....
ReplyDeleteTujifunze kuishi hizi nchi za watu...Japo twapewa uraia lakini mbele ya haki wanatutreat as wakuja always)
Nazidi kushangazwa na hao wanaosema eti jamaa alikuwa na ulaia wa denmark, SIO KWELI KWANI JAMAA AMEUWA MKEWE KWA SABABU ALIKUWA ANALUDISHA NYUMBANI KUTOKANA NA KUKOSA KIBALI CHA KUISHI APA, ALIKUWA NA KIBALI CHA MUDA TU, KWA HASILA NA WOGA WA KULUDISHWA NYUMBANI NDIO ULIOMFANYA LEO AITWE MUUWAJI. MSIMTETEE UWO NI UJINGA TU!!!
ReplyDelete