meneja wa fedha wa TSN wachapaji wa Daily News na Habari Leo, Diana Lyatuu (shoto) akila stori na mdau Kijori Kassom wa Future Century na mdau Faraja Edward wa PPF baada ya kukamata nondozzz zao za Certified Public Accountants (CPA) katika mahafali ya NBAA jijini Dar wikiendi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Matari, New Albany- OhioOctober 19, 2009

    Hongereni Mabosi wangu kielimu, mwenzenu niliishia NABOCE YA MWAKA 47 lakini nipo nipo nachacharika kivyangu vyangu.

    ReplyDelete
  2. hongereni sana jamani kusoma si masihara mara migomo mara ada siku kama ya leo hapo pichani ni raha sana

    ReplyDelete
  3. hongereni sana kupata CPA sio mchezo,kwani wengine inatutoa jasho,ila tunaenda nayo hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana,kupata CPA sio mchezo,kwani wengine inatutoa jasho mpaka tunakata tamaa,ila tunaenda nayo hivyo hivyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...