Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa shamba la Mpunga la Mngeta, Carter Calman linaloendeshwa na kampuni ya Kilombero wakati alipotembeleashamba hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Morogoro wikiendi hii. Kulia ni Mkuuwa mkoa wa Morogoro Luteni Kanali , Issa Machibya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...