WEST Midlands Police is driving home the message that crime does not pay after confiscating £1.4 million from criminals...Det Chief Insp Simon Wallis, head of the force’s economic crime team, said: “This money has been taken from those who think crime is an easy way to make money.
“On many of these occasions through financial investigation and the confiscation process we are able to trace monies and give them back to victims. In cases where money is transferred abroad, it still is able to be retrieved. Crime does not pay.
We will investigate those involved in criminality to ensure that they do not enjoy their ill gotten gains.” Among the success stories for the police is the near £900,000 seized from Walsall conman Mponjoli Malakasuka (pictured) who has been stealing and exporting high powered luxury cars.
Malakasuka, aged 36, from the Yew Tree estate, was ordered to pay back the money in one month or face an additional four years in jail. He was originally sentenced to three-and-a-half years in July 2008 for conspiracy to steal.
Malakasuka had used a variety of sophisticated methods to steal prestige vehicles which he then exported out of the UK to Tanzania and Kenya. The cars were stolen both through car key burglaries and a variety of identity fraud and fake hire purchase agreements.
The cars included Mercedes Benz S320 CDi and Porsche Cayenne cars. In all over £300,000-worth of vehicles were stolen. At the time of his arrest police discovered Malakasuka to be living a life of luxury in his four-bed house.
At his address were pictures of luxury houses in Tanzania into which officers believed he had invested his fraudulent cash. The court accepted the houses in Tanzania were proceeds of his criminality.
Financial investigators were also able to show thousands of pounds passing through in excess of 70 bank accounts in the UK and Tanzania including one account which alone had £350,000.
Det Sgt Jonathan Jones, who led the investigation for the Economic Crime Team, said: “This has been a great investigation, as not only have we stopped fraud and theft, but we have now recovered the profit that this man made from his criminality.”
Read the full story at:
Huyu Jamaa nasikia Ana Kesi nyengine.
ReplyDeleteAkitoka Ndani UK inabidi arudishwe USA sababu ana URAIA wa USA. USA aliharibu akarudi TANZANIA, akatengeneza Passport TZ akaingia UK. Sasa USA washampata Mtu wao. Noma Bora kupiga BOX ndugu yangu kama huwezi kusoma kuliko kulazimisha maisha, sasa Wapambe wako wako wapiiiiiiiii????. Wala Vumbi napiga Box Oyeeeeee. DJ Rule.
Aahh jamaa ni Professional Career Criminal. Alishachafua Marekani sana na sasa Uingereza, akiachiliwa next stop itakuwa ni South Africa au South America, Asia au Uarabuni. Hatari tupu next time inaweza kuwa hata kuunda kundi la ujambazi wa kutumia silaha.
ReplyDeleteGenious!
ReplyDeleteJAMAA ALIKUWA MJANJA, ANAIBIA MATAJIRI, SIYO KAMA MAFISADI WANAOIBIA WANAOIBIA NDUGU ZETU MASIKINI, JAMAA BAHATI MBAYA TU DILI LILIKWENDA KOMBO.....ILA ATATOKA TU...NYIE ENDELEENI KUKUMBATIA MAFISADI WANAOWAFANYA MPATE MGAO WA UMEME MPAKA KARNE HII YA 21
ReplyDelete"get richy quick scheme" inatumaliza wabongo, bado wengine watafuata hapa birmingham na northampton.someni vijana kama wenzenu walioacha na kurudi shule kama muna na dogo. baba babu
ReplyDeleteHuyo ni Dr. Ponjo..huyu jamaa ni kiboko. Watafunga wakimtoa tuu, mchezo ni pale pale. At least yeye hawaibidii walala hoi kama wale mafisadi wa bongo
ReplyDeleteduh! bongo watu wakawa wanatamba na mavogue mabenzi ya nguvu kumbe ya uchori kaazi kwelilkweli
ReplyDeleteDJ RULE WEWE SI UNAPIGA BOKSI DAILY MBONA HAMNA MAFANIKIO
ReplyDeleteJAMAA KASHATOKA HUYO LEVEL NYINGINE
ANA NYUMBA BIRMINGHAM NAKAA JIRANI NAYE ANA RANGE ROVER 2
ANA HUMMER,BENTLEY ANA NYUMBA BONGO TATU MASAKI MOJA NA O'BAY MBILI
NI KISU KIBAYA
MPONJOLI TATIZO TAMAA SANA
ILA ATATOKA TU NA KUENDELEZA LIBENEKE
IF YOU LIKE SHORTCUTS YOUR LIFE WILL BE CUT SHORT,IS NOT WORTH IT KWANINI MTU UISHI KWA WASIWASI KILA SAA UNAANGALIA NYUMA.
ReplyDeleteAfadhali huyu amepeleka hizo pesa nyumbani angalau kidogo, wenzake huwa wanapeleka huko Jersey Islands.
ReplyDeleteKwa mtaji huo waache wakufunge hata miaka kumi, ukitoka huko utakuwa na angalau kibanda kimoja cha kulala.
Big Up Mponjoli.
mjomba kama kweli hawakusingizii basi wewe kamanda,umewacost watz waishio nje maana hawa watu huwa wana generalize mwishowe tutakuwa kama wa nigeria
ReplyDeletena vipi kuhusu ile kesi ya watz aliokamatwa india mwaka huu wakiwa na Kilo kadhaa za first class drugs?
Yote maisha tu.bahati mbaya ufisadi wake anaufanyia "NG'AMBO" lkn kama angekuwa anabanana kiufisadi na "VIGOGO" hapa bongo wala isingekuwa tatizo.
ReplyDeleteWacha wazungu wapigwe maana wamezidi kujifanya nw anjua wakati hawajui, waliwezaje kushindwa kumkamata mapema, wananyanysa sana kwenye VIsa wakati wahalifu kibao wanapeta kwao.
ReplyDeletesafi sana wazungu ndio dawa yao hii kwangu mm huyu jamaa namuona ni shujaa kuliko Andrew Chenge anaewakamua walalahoi,ni yupi bora kati ya anaewaibia wazungu ama mafisadi ?????wazungu wenyewe ndio the most criminals dudes in the entire world,whc goes around always.....???
ReplyDeletenyie wote hapo juu hamna mpango jamaa mjanja na ndivyo inatakiwa kuwaibia hawa wazungu ni poa tu wao wanatuibia sana safi sana MPONJOLI keep on it kukamatwa ni bahati mbaya tu but wewe mwanaume sana
ReplyDeleteHuyu mzee wa Viwanja, ile kamili.
ReplyDeletenadhani Mtanzania wa kawaida amuonee donge.
Wakina Livingstone waliiba, Rumself wameiba na huyu mshkaji ngangari anaondoka vibaya vibaya kidizain.
Nenda Baba. Uuuwiii..
Akili ni mali!?
= = =
Buffalo (uraiani tu-2)
New York
It's all good man,bad luck!!Remember,"GET RICH OR DIE TRYING"
ReplyDeleteHakuna cha kuiba Ulaya kwa Africa wala Africa kwa Ulaya Azabu ni moja tu Moto wacheni ujinga Someni Shule huko nyie Yani mnasifu Ujinga?. Cha kusema tu akitoka mungu amsaidie awache hayo mambo. Sio kuwa mjanja kaiba ulaya kaleta africa. Msiwe kama watoto. Malik.
ReplyDeleteHakuna anayesifu wizi. Fitina ni mambo ya MWANAKIJIJI na fikra zake za kuchochea mawazo ya kupotosha watu kwaajili ya ubinafsi wake.
ReplyDeleteMdau wa Kwanza hapo juu....DR Ponjo hakuwa Raia wa Marekani. Alikuwa anatumia Passport Feki ya Marekani kuishi UK.
ReplyDeleteJust so you know, Mkewe (ambaye ni Mkenya) amesoma vizuri USA, na ana kazi nzuri hapa UK; ila sijui kwa nini Dr Ponjo bado akaona kuna haja ya kuwa Jambazi..!!!
Huyu ameiaibisha sana Jamhuri yetu hapa UK.
Wote wenye kumsifia huyu jamaa ni nyambafu tu, hamna mahana yoyote jamaa kahalibu vibaya sana, heri yenu mlioko UK tayari na je wale walioko bongo, make Tanzania sifa yake inaaribika mwishowe tutakuwa kama Nigerian. Wizi mwingine aufai
ReplyDeleteMdau,,,
Malaysia
DJ Rule acha story za kwenye vikao vya kahawa
ReplyDeletenani alikwambia huyu mchizi ni mmarekani? unafikiria kwanini alirudi bongo? au alirudi kwa hiari? ulizia vizuri kama hujui kabla hujaja kuropoka in public
good job mponjoli.... DOGO amemaliza shule na anaendeleza libeneke glasgow!!!! keep it up!!!
ReplyDelete13 DIMMOCK SQUARE
imefika wakati wa kujiangalia au kufanya reflections..yaani wakati asilimia kubwa ya jamii inapo tukuza na kusheherekea criminals! jamii nzima ianelekea wapi jamani?
ReplyDeletejust a food for thoughts.
Huyu jamaa nambatiza jina la ROBIN HOOD anawaibia matajiri ambao hawa feel uchungu sababu Bima itawalipa..Ubinifu makini na akili,kachuma ulaya kawekeza afrika..hajaua mtu,hajamshikia mtu bundukii..wala haja pora mali ya umma na kodi ya wananchi...kama wateule na wahasimiwa wetu...kufungwa miaka mitatu si kitu..na hata wakikamata akaunti...Tembo hata akikonda vipi hawezi kua sawa na swala....HABARI NDO HIYO...
ReplyDeleteMDAu LOBOKO LOBII PAPAA
HUYU JAMAA HAWAJUI WAZUNGU, WAKIKUKAMATA UMEKWEPA KULIPA KODI LWAKO NA UKIKAMATWA UMEIBA HAWAKUACHII; WIZI HUO ANGEUFANYA HUKU UNAIBA UNAPELEKA ULAYA POA UNASIFIWA WEWE MFANYABIASHARA MAARUFU KODI HULIPI NA VIONGOZI WANAKUWA KARIBU NAWE KWA UMAARUFU WAKO MRADI CHANGIA CCM. LIWE FUNDISHO KWA WENGINE WAJUE UPANDE UPI MZURI KUIBA.
ReplyDeletekaeni mkao wa kula din na baba babu wa northampton, tafuteni hela kwa bidii halafau jamaa wanazichukua zote na kifungi juu
ReplyDelete5 Big 100 Percents To Brother Mponjoli
ReplyDelete100% - Anajali Masela
100% - Hana Loho Mbaya na Mkwanja
100% - Hawaibii Masikini
100% - Haibi Tanzania
100% - Anasaidi uchumi kukua TZ
Usiweke roho mbaya kwa wanao saidia mzunguko wa hela tanzania.
Baki na ujinga wa kukumbatia Mafisadi Tanzania!
we maliki sijui malak acha ubwege wewe nani alikuambia ukisoma ndio unatoka? kusoma inakusaidia tu kupambanua mambo na kuweza kukabiliana na mazingira yako vizuri sisi tunamsifu DR MPONJOLI kuwa ni mwanaume coz anawaibia wazungu mbona wao hapo bongo wanatuiobia sana na sie kwa ujinga wetu na ufinyu wa mawzo tunawaita wawekezaji but ukipata chance ya kuwapiga huku ulaya ni kuwapiga tu sio unakaa sijui unaogopa kuchafuliwa jina kama wanaigeria tumia akili kupata fedha sio manguvu
ReplyDeleteNyie mna fikra duni to justify utajiri wa kuibia wazungu. Someni na mfanye kazi kwa bidii, au biashara nyingine zozote zilizo halali. Kama mlivyosema hapo juu mkewe ana kazi nzuri na jamaa pia alikuwa na kipato tosha cha kuisaidia familia yake japo kidogo. Tatizo ni tamaa, masifa, wapambe, na hayo magari na majumba mnayosifia. Hii pia ni kuharibia watu walio nje na wanaofanya kazi kwa nguvu zao muda sio mrefu tutaona kwenye airports kuna mabango, "Be Aware of Bongos".
ReplyDeletewizi wizi hata mawaziri wetu kibao ni wezi sasa na wao wasubiri hukumu zao bora huyu kafungwa ulaya wao watakula mziki wa keko na sega dance!mponjoli wewe maliza kifungo caho kuna wenzio wengi wanakuja muda sio mrefu listi yao hiyo hapo:
ReplyDeleteVICTOR MAGAWE(kilema)SAMIRI.ANDY SIMKOKO.MUPALANZI WA MILTON.TONY WA MILTON.MUIDIN.ACHU WA COV.NAHEIM BABU.NA HAO WAZIMBABWE WENU.MZIKI WENU UNAKUJA JIANDAENI MKAO WA KULA SIMNAONA SIFE NA HAMTAKI KUJIFUNZA HAYA
wizi wizi tuuuuuuuuuuuu mwache aseme nalooo lijijela
ReplyDeleteWabongo wengi wajinga kabisa, eti hawaibii masikini, pambaf! Hivi mnadhani ulaya hakuna masikini? Huyu jamaa ni jambazi full stop! Huyu jamaa yumo kwenye mtandao wa majambazi wa magari na wakati mwengine wakienda kuiba hayo magari wanatumia nguvu na silaha, na baadhi ya hayo magari wenyewe walijeruhiwa ama kuuliwa. Nasema wacha aende kuoza mhalifu huyu.
ReplyDeleteUhalifu haulipi kamwe.
Inaonesha Comment za Kusifia ni wale jamaa zake Ila na nyie kaeni mkao wa kufatwa tu, Mwenzenu Yupo bafuni anatizama sabuni isidondoke. Sifieni ujinga tu. Mwizi ni Mwizi tu. Sasa watu pia mnaumuibia Mkewe na nyie wezi.
ReplyDeleteMmmmmmmmmmmmmmmm vijana wa Kitanzania mlioko ughaibuni yaani mnadhiliki kumsifia mwizi eti anawaibia wazungu matajiri!!! wizi ni wizi tu unajuaje kama hata Tanzania alikuwa anaiba au ana kundi la wenzake anaofanya nao uhalifu walioko huko? wizi una mzunguko mkubwa sana.Hayo magari alikuwa anaya-export kwa akina nani kama si mtandao wa wizi mtupu ambao unafanyika Kenbya na tanzania pia.
ReplyDeleteKuna mwingine anadai anatajirisha nchini kwetu, ni nchi gani itatajirishwa na wizi wa kipumbavu huo?Nani alikwambia kuwa nchi inatajirishwa na wizi?Mnaacha kuchapa kazi kutumia elimu nzuri mlioipta mjenge nchi yenu mnakimbilia kushabikia upumbavu huo.Sifa yanchi inaharibiwa sana hilo hamlioni mnabaki kuchekelea wizi?
Wengi mnamshabikia huyo kijana wala hamjui alikotoka.Huyu kijana baba yake Malakasuka ndiyo walikuwa matajiri wa pale Mbeya na kwa sababu ya ujeuri na wizi kama huo alichangia kwa kiasi kikubwa kuimaliza mali ya babaye.Baada ya kushindwa maisha ndipo wizi ukahamia ughaibuni hawezi kufanya kazi za kihalali kwa sababu hawakuzoezwa hivyo walikuwa watoto wa matajiri waliokula na kulala basi.hawalijui hata lile linaitwa Jembe linashikwaje.Leo eti wewe unamshabikia mwizi.Unafikiri wizi huo unaishia ughaibuni tu anaiba hata kwa baba yako kama hujajua.
Acheni njia za mkata fanyeni kazi mjipatie heshima. Utajiri gani huo wa kuwa na maisha ya wasiwasi kila saa??Soma shule muelimike na kujenga maisha ya staha.Mimi natoka karibu na huyo kijana kule Mbeya namfahamu vilivyo.Lakini wengi wenu mmekutana naye virabuni humo ndipo mnapeana misifa ya kijinga hiyo.
eeh bagwitu pole sana kaka ! lakini wanyakyusa tupo juu jamani ha ha ha , dokta wanyoe hao pumbavu alafu tunazichimbia tukuyu , vibaya kuiba africa ila kama unamwibia mzungu alafu unazirudisha africa poa tu , mbona wao wanaiba africa tena kwa kuua ? angalia kongo vita haviishi .wewe ni mwanaume wa shoka ponjo . ugwe pilikakuno !!!!!
ReplyDeleteMbongo yeyote anayemkandia huyu mshkaji ni 'Graceful Looser'.
ReplyDeleteBasi tu, hamjui huyu Mjanja ametengeneza employement/uajiri kwa watu wangapi. Hayo magari yanayoletwa hapo yanalipiwa kodi kwenye Serikali yetu.
Hilo gazeti la Birmingham ni local sio kama Daily Telegraph ambalo linasoma na mamilioni ya watu pale Uingereza!?
Sijui Wabongo mnategemea nini sasa!? acheni kufananisha degedege na mashetani.
taratibu hapo.
= = =
Buffalo, (Marekani bwana wee..)
New York
Sina huruma kabisa na hawa wapuuzi wanatuharibia jina la Taifa letu. Jela ni jela tu hakuna cha Ulaya yaani akifika huko Wajuba watamgombea huyu kama mchuzi..Nampa pole na familia yake sijui kamuachia nani?
ReplyDeleteMdau, Boston, US
Kuona comments nyingine za humu ndani zinasikitisha. Yaani mnamsifia mwizi ! Mwizi ni mwizi tu ndiio maana tunashindwa kuendeleza nchi yetu maana tunaona ni sawa tu mtu kuiba maana na sisi tukiwa na nafasi Tutaiba ..A mind is a terrible thing to waste !
ReplyDeleteKelele za mlango hazitomfanya mwenye nyumba kukosa kulala .Dr mponjoli wewe ni Robin Hood wa karne ya 21 kaza moyo mkuu wamekupeleka holiday tu. miaka minne ni cha mtoto ukihesabia day and night , saturday and sunday, bank holiday plus kama utafanya kazi ndani (jela). kifungo chako kitakuwa si zaidi ya miaka miwili. muhimu ni kuondoa mawazo , Gym kwa sana . wache haters wa kibongo wapige kelele ukitoka kama kawa mwendo mdundo kwa speed 120.
ReplyDeletenawakilisha mdau Leicester UK.
huu ni mtandao mkubwa wa kitanganyika kenny, dogo,muna, kasongo, naheim simkoko, samir,victor magawe,nurdini, achu jiandaeni hawa ni wezi hatari wanao lipaka matope tz hapa uk
ReplyDeleteThe guy is a genius acha awaabie wazungu cz na wao wametuibia vyakutosha big up mponjoli and the entire crew
ReplyDeleteMnaomuona kuwa jamaa ni Komandoo na mnamsifia basi igeni tu na nyinyi. Sisi wengine tutajibebea box tu utajiri wa haraka haraka hatuutaki utatutokea puani. It is sad to see people singing praises of this scoundrel. I think we are better than that as a society.. kila kitu watu wanasema tu ooh bora huyu kuliko fisadi.. No huyu hana ubora wowote jangili bomba huyu na zake 40 zimefika piga miaka 15 tumsahau halafu wafuasi wake na nyie fuateni huyo bwana wenu!!
ReplyDeleteMdau Boston, US aka Mbb box.
WEWE SHIMIMANA AKA DUMISANE....
ReplyDeleteSHIMIMANA UNA WIVU MKUBWA RUDI KWENU BURUNDI KICHWA KAMA BUNDI UNAONGEA SANA KILA KITU WEWE UNAJUA. KWANZA WEWE ULIKUWA UNAMMENDEA HUYO MTOTO WA KIKENYA KAKUTOA NISHAI ILE MBAYA UNANUKA KIKWAPA FATILIA MAMBO YA BURUNDI NA WARUNDI WENZAKO KWANZA MTU MWENYEWE CHOKA MBAYA HATA MSAWAKI UNAOMBA ULIO TUMIKA HALAFU UNAKUJA NA KUSEMA MPONJOLI ANATUAIBISHA? WEWE HUJUI KIKWAPA KINAVYO AIBISHA AMA DOMO NUKA LINAVYOTIA KINYAAA...
after reading mot of the comments inavyoonekana washkaji humu wanaomsagia wengi ni mahaters wake nyie bebeni mabox weeee mpaka mkichoka mtarudi wenyewe in the blessed land Tanzania mlitumwa muende ulaya so stop complaining kama mnaona the guy anafaidi na nyie tafteni link ili mpate maisha ya haraka mnajifanya mnawaonea huruma wazungu kwani hao ni baba zenu walivyutufanya maslaves mbona hamkulalamika acheni kelele nyingi let mponjoli na washkaji zake walive their lives hata wakifungwa kwani nyie mnaathirika nini?acheni wivu hasa nyie wabongo wa uk kazi kukalia umbea kama mpo manzese get a life na mabox yenu
ReplyDeleteUnawezakuona jinsi jamii ya kitanzania ilivyooza. Yaani watu wanamwona huyu jangili ni shujaa. Na ndivyo tulivyo hata kwenye maofisi, mabenki nk nk Tanzania. Asiyeiba ni mjinga na anayeiba ni smart! Wizi umekuwa utamaduni unaokubalika! Halafu tunaongelea maisha bora kwa kila mtu....
ReplyDeletesaffffiiii saaaffffiii pata FAST MONEY, kama serikali imeshinda kusaidia uchumi ukuwe acha maGenius wa kimaisha wafanye uchumi ukue, mie nampa BIG UP jamaa mana ana maana zaidi hata ya wabunge 10 labda wanaoenda na kusingia na kula hela za walalahoi ....ndo maana mikoa mingine bongo maisha yanazidi kuwa madumu BIG UPPPP MANNN....ENDELEZA HUSTLINGG,
ReplyDeletehata mimi nshimimana aka dumisane inaonekana ana beef na huyu bwana mbona bongo inaliwa kila siku sioni komenti za kashfa namna hii? kuna kosa gani mtu kuwa mtundu na kujifaidisha na ujinga wa wazungu? jamaa ka punch kinoma wasagaji mnajitia tia kimbelembele. Nshimimana wewe unaonekana MSAGAJI sana eheee.Kabebe box wacha wajanja kina Mponjori wakuoneshe jinsi ya kuishi, unakuwa kama unabugia miunga? wasagaji bwana kelele nyingi vitendo hakuna...Njoo wichita uone watu wanavyo kula maisha.
ReplyDelete"JANGILI"thats a strong word inaonekana hamjui maana ya jangili the guy is a hustler as long as haibi tanzania endelea kaka infact i admire u wenye kuchonga wote ni wivu tuu hasa nyie vijana wa uk mmekalia kusemana wee ebu punguzeni umbea waacheni vijana wa watu wasake mapound big up mponjoli na vijana wote mliotajwa kazeni buti dont let maneno ya wakosaji yawarudishe nyuma.
ReplyDeleteRaia mnajidai mnahasira na mponjoli, hamzungumzii ushoga unao kuwa kwa kasi huko tanzania na wizi wa mawaziri weni ku sign contract kisiri siri, unamkomalia kijana anaetafufa maisha."KILA MTU NA MAISHA YAKE, WIZI NI WAKE WEWE SIYO MUNGU UKAHUKUMU" na wala huna cheo cha kuhukumu.(NDIYO NYIE KUTWA NZIMA KWA WAGANGA KUTAFUTA DAWA ZA KUPATA KAZI)
ReplyDeleteUNAJUA TATIZO WATANZANIA TUNA MAJUNGU NA KUFUATILIANA KIMAISHA KILA MTU ALIKUJA ULAYA KWA MALENGO YAKE SO LOLOTE AFANYALO NI JUU YAKE SIONI WATU KINAWAUMA NINI HUYU JAMAA KUIBA MBONA HATA MABILIONEA MAREKANI WANAFUNGWA KWA FRAUD! SO WEWE FANYA KILICHOKULETA THATS WHY WENGINE WANAKUJA KWA KUZAMIA NA WENGINE WANAUJA KISHULE KILA MTU NAMAISHA YAKE WENGI MANOCOMMENT HAPA KWANZA MKO ULAYA MIAKA MINGI HAMNA KITU MNAPIGIA SIMU NDUGU ZENU TZ NA KUJIFANYA MAMBO YENU SAFI SO MUACHENI YEYE NA MAISHA YAKE AWE NA PASI FEKI AU YA KWELI THATS NONE OF YOUR BUSSINESS.
ReplyDeleteMDAU UK
Wezi wana umoja kweli, ila kumbuka za mwizi arobaini. Na nyie mliobaki karibu mtakamatwa tu, kuanzia sasa "hakuna kulala".
ReplyDelete