VODACOM YAZINDUA ‘ONGEZA SALIO KWA M-PESA NA UJISHINDIE SIMU YA BURE’
Vodacom Tanzania leo imezindua promosheni mpya ijulikanayo kama ‘ONGEZA SALIO KUPITIA M-PESA NA UJISHINDIE SIMU YA BURE’ kwa wateja wake wote wa Malipo ya Kabla na VodaJaza.
Sasa wateja waliojisajili na M-PESA wanaweza kuongeza muda wa maongezi kwenye simu zao au za marafiki zao kwa M-PESA na wabahatike kujishindia simu aina ya Motorola W230.
Droo zitachezeshwa kila Jumatatu kuwapata washindi 10 watakaojinyakulia simu ya Motorola W230 KILA MMOJA.
Vilevile, wateja watapata nyongeza ya asilimia 5 BURE kila waongezapo salio kwa M-PESA.
Mfano: Ukiongeza Tsh 2,000 kwa
M-PESA utapata Tsh 100 ZAIDI BURE!
*Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
Pamoja daima.
Vodacom Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...