HELLO!
Is your Research Paper an obstacle for your graduation?Need help to finish your Research Paper in time?Need help to upgrade your Research Paper?
HERE IS HELP!

Get extensive dissertation consultation services at your finger tips.
From start to finish!

If you are an undergraduate, post-graduate or graduate student and abusiness person or a fulltime employee, and your struggle to balanceyour family, social, work, business and school obligations has becomeimpossible, you are hard-pressed to finish your research paper, youare not getting enough support from your supervisor, or, yoursupervisor has directed you to make changes or corrections that you don't understand, or your supervisor has rejected your research proposal or dissertation altogether, you feel stuck, and you startthinking it is impossible for you to beat the fast-approachingdeadline, and you need help to fast-track, up-grade and finish yourdissertation once and for all, in the shortest possible time,..................
you have come to the right place!
For more information, log on to:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Umeendika mengi, ila sifa zako ni zipi? Maana inakuwa ngumu as sina hakika kwamba wewe utatoa huduma kwenye sectors zote, hiyo si kweli au kwa kuwa ni biashara!!!

    ReplyDelete
  2. This is bullshit; to Michuzi also, let graduates do their reseach themselves so that they can degree they deserve and not otherwise. na wewe michuzi how do you allow such a thing to be posted on your blog; last week we discovered wabunge kibao hawajasoma leo hii unaendekeza the same thing. Hivi wewe michuzi na aliyepost this crazy idea mna maana kweli?? Do you love ur country'???? Chesco here

    ReplyDelete
  3. Please provide your academic credentials so that we know who we are dealing with.

    Also if you can provide the contact persons, of your top 20 projects, for referrals will augment your proposition nicely.

    ReplyDelete
  4. Wadau..tunatofautishaje hii huduma na WIZI WA KITAALUMA (PLAGIARISM)? labda alietoa tangazo atufafanulie..mfano, ni mazingira gani ambayo mwanafunzi anayefanya dessertation, degree au masters level ambaye atatakiwa aandike dessertation ashindwe kuandika kwa sababu hana muda? au supervisor kamtaka afanye mabadiliko mengi kwenye dessertation yake?..na wewe ulietoa tangazo ndio kuwa una taaluma zote au una ofisi yenye timu nzima ya watu wenye taaluma zote?
    mimi nikiwa mmoja wapo wa wanazuoni ninayethamini hadhi ya elimu sidhani kama huduma hii inayotolewa kwa malipo ni ethical..nnachojua kuna kusaidiana kwa kawaida kama kusoma draft dessertation ya mtu na kumuongezea inputs zako..ambapo mwisho mwenye dessertation anapaswa ku acknowedge inputs hizo tena kwa majina..je katika mazingira haya je utasema unamshukuru fulani bin fulani ambaye nimemlipa anifanyie dissertation yangu?..nafikiria tu!

    ReplyDelete
  5. Do you know anything about nuclear? Acha ubabaishaji weye unataka kutuletea PhD feki kama za mawaziri wetu. Mtu anayesomea uzamivu atahitaji vipi msaada wa kuandikiwa dissertation?

    ReplyDelete
  6. mwanzo/muendelezo wa kuzalisha vilaza. MBA nyingi ni za mtindo huu. tunajua tulio katika taaluma. michuzi umefanya vizuri sana kupost hii maneno ili wasomaji wajue masters na PhD wanazokutana nazo mtaani zingine ni kanyaboya kama hivi. hivi wewe ndugu unayetoa huu 'msaada' kweli una akili timamu. kwako ni vema mtu agraduate basi. anagraduate na nini kichwani haikuhusu. jamani!!

    ReplyDelete
  7. NYIE WATU MNALALAMIKA TU BILA YA KUJUWA MAMBO HUWA YANAFANYWAJE, KWANI HATAELIMU YA DARASANI SI UNAPEWA NA MWALIMU NA ANAKUELEKEZA NAMNA YA KU-SOLVE PROBLEMS, SASA HIYO NI FAKE, AU MNAZALIWA TU NA KUJUWA NAMNA YA KU-SOLVE PROBLEMS BILA MTU KUKUFUNDUSHA!! SO UTASEMA ELIMU YAKO NI FAKE KWA VILE MTU KAKUFUNDISHA NAMNA YA KULITATUA TATIZO!!! HIZI FIRMS ZIKO NYINGI SANA DUNIANI HASA NCHI ZA ULAYA NA AMERIKA, NINACHOFAHAMU MIMI HUWA WANASAIDIA WATU PALE WANAPOSHINDWA KUELEWA JAMBO UNALIPA KAMA UNAVYOLIPA TUITION WANAKAA NA WEWE ONE TO ONE NA KUKUPA MAELEZO YAKUTOSHA BASED ON YO PROPOSAL HOW TO WRITE IT ACADEMICALLY, PIA WANAKUSAIDIA KUSOMA FINAL DRAFT YAKO KUONA KAMAIKO SAWASAWA KI-ACADEMIC. HUWA NI OFFICE KUBWA ZINA WATAALAMU WA ELIMU ZOTE HAPA DUNIANI, OF COURSE IN LIFE KUPO CHEATING WENGI TU WAMECHEAT HATA HAWA WALIMU WA VYO VIKUU HARA UDSM AT ONE POINT WAME-CHEAT. WHAT IS VERY IMPORTANT NI KWAMBA KILE KITU UNACHOKIANDIKA UNAKIELEWA. HATA HABARI ZA WABUNGE NA MAWAZIRI KU-CHEAT DEGREES MIMI BINAFSI HAINIINGI AKILI HOW COULD YOU CHEAT BY KUTAJA CHUO KINACHOJULIKANA DUNIANI KWANI HUOFII KUWA WATU WAKIFUATILIA HADI CHUONI WATAGUNDUA UONGO WAKO!! NAWEZA KUKUBALIANA KUWA WAMESOMA KWENYE HIVYO VYUO BALI WALIPATA LOW MARK SI WAKALI SANA KWENYE MAENEO WANAYODAI WALIYASOME, KIASI KWAMBA UNAWEZA KUMUULIZA SWALA JUU YA SWALA FULANI KATIKA AREA ALIZOSOMEA AKASHINDWA KUKUJIBU KIFASAHA NA HIYO HAINA MAANA HAJAFAULU HIYO LEVEL ANAYODAI. HII MAMBO YA VYETI VYEKI KWA KNOWN PUBLIC FIGURES NA WATU WENGINE WA KAWAIDA NI POLITICS NA JUST NORMAL HUMAN BEING INSTINCT - I MEAN FORMAL PROFOUNDLY IMBUED, MOB JUSTICE, BEHAVIOUR THAT IS CARIIED ON WITHOUT CONSCIOUS THOUGHT. KAMA MNADHANIA MTU AME-FAKE ELIMU BASI FUATILIENI HADI MWISHO ILI WATU WAJUWE KWELI KUWA ALI-FAKE SIYO ATILIWE MASHAKA TU NA MNAENDA KUMUULIZA YEYE MWENYEWE NA AKIKATAA KUTOWA MAELEZO BASI MNAHITIMSHA KUWA AME-FAKE "MBONA AMEKATAA KUTOWA MAELEZO", FUATILIENI KULE ANAKODAI AMESOMA NA KUTUNIKIWA HICHO CHETI LAZIMA KUNA RECORDS, NA IKIBIDI MFIKISHENI MAHAKAMANI ILI UKWELI UJULIKANE KWA UMMA SIO RUMOURS AND INUENDOS NA KU-KILL SOMEBODY CHARACTER, "CHATACTER ASSASSINATION" WE WANT TRUTH AND ONLY TRUTH NOT CHEAP POLITICS AND UNDESERVED PUBLICITY STUNT

    ReplyDelete
  8. SOMENI VIZURI WEB YAKE NA MJUWE NINI ANACHOKIFANYA, SIYO KULALAMA TU, HIVI SUPERVISOR ANAPOKUSAIDIA KU-SHAPE DISSERTATION YAKO UNA-FAKE DEGREE YAKO, AND REMEMBER THAT DISSERTATION IS A PART OF DEGREE AND IT IS NOT A DEGREE BY ITSELF AND IT IS AN OPEN PROJECT SO MOST OF STUDENTS HUWA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE HUSAIDIWA KU-COMPLETE HIYO KIPANDE YA KAZI NO BODY ON EARTH ANAMALIZA DISSERTATION MWENYE BILA YA MAWAZO YA WATU WENGINE UKIFANYA HIVYO WEWE NI MUONGO AS THERE IS NO NEW YOU CAN BRING INTO IT AS THERE IS NO ANY SUBJECT THAT HAS NOT BEEN LEARNED OR INVESTIGATED BEFORE BY SOMEONE IN ONE FORM OR ANOTHER. DISSERATION IS NOT AN INVENTION, IT IS JUST ANALYSIS OF EXISTING THINGS.

    ReplyDelete
  9. michuzi naomba ulitoe hili tangazo kwa ajili linasaidia wanafunzi katika research zao, hii ni sawa sawa na cheti cha kununua

    ReplyDelete
  10. 'COURSEWORK',,iliniangusha,,,hio DISSERSTATION sijui kama nitaweza nikifika huko!....bora kuna watu kama nyie!!
    ney-bham

    ReplyDelete
  11. mdau 06.58: kwani lazima usome?,

    kama elimu ya darasani imekushinda jaribu vingine, ufugaji nyuki au uvuvi, kusuka mikeka n.k

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...