Mshindi wa kwanza wa shindano la Bongo Star Search Cassian Paschal akipokea hundi yenye thamani ya sh. milioni 25 kutoka kwa madame Ritta Paulsen leo
Mshindfi wa tatu wa BBS Kelvin Mbati akipokea
kitita cha sh. milioni 3 kutoka kwa madame Ritta Paulsen


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. madam kama mtoto mdogo umetumia nini kupungua hivi jamani fasta fasta hivi wewe na mustafa assanali tupe siri ya mafanikio yenu au ni yenu wenyewe

    ReplyDelete
  2. wekeni kwenye YOU TUBE tuone
    wali-perform vipi hadi leo sijaona kwenye You Tube hasa huyo mshindi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...