kitongoji cha bagamoyo katika mji wa tukuyu wilayani rungwe, mbeya, kama alivyonasa mdau wa tukuyu leo. kwa mbali kule ni sehemu ya mlima rungwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. hahahahaaaaaaa duh,Uumenifurahisha sana Mr. Michuzi kwa kutuwekea picha ya nyumbani TUKUYU,Uumenikumbusha mbali sana, wanyakyusa tunasema Ndaga fijo Michuzi,Ngamanya

    ReplyDelete
  2. michuzi jamaa bado hajaipatia ile bagamoyo ya Tukuyu haswa maana bila kuiona ile barabara ya kwenda Kyela ,Bagamoyo hujaiona bado.
    Nashukuru umesema katika taswira ni SEHEMU TU ya Mlima Rungwe, Mlima mrefu zaidi kuliko yote mkoani Mbeya.Kwa kulia mwinuko huo mdo unaelekea kilele chenyewe cha mlima Rungwe

    ReplyDelete
  3. I am proud to see my motherland....mweee.
    Mdau ANDENDEKISYE BROWN MBIJE(Gwakukajha)

    ReplyDelete
  4. kukaja kununu bagwitu, mwe! une ngufyuka apo patukuju, ngusululuka ngukonga ulwisi ulwa kibhira (kiwira)mpaka ku mpunga nnyafu ni mbasa KWAKYELA.

    kwa wengine hili ni jambo la kifamilia zaidi.

    ReplyDelete
  5. Ebwana ulipiga photo ukiwa mtaa gani hapo? pale msikitini nini? kwa taarifa tu...mji mzima wa rungwe una msikiti mmoja ambao upo bagamoyo tu....hakuna msikiti mwingineo katika wilaya hiyo.

    ReplyDelete
  6. Ghweee mwaipopo kukajha kanghi kununu bho bhulebhule?

    ReplyDelete
  7. Hi imenikumbusha sana mbali, nice one, nilisoma Bagamoyo Primary school miaka ya 80s enzi za mwalimu Kipalule, kuna anayekumbuka?. Mdau kama unapicha zingine za Tukuyu please tuwekee, thanks

    ReplyDelete
  8. Mwee mweee mweee... jo jwani mwana ununu uju atutwalile aka picha kanunu ka kukajha?, tujobhege utwanaloli kukajha kununu bhagwitu bhule?.
    Ngetie akapicha aka ilyojo li kolie.

    Jone ne mwaninu
    Japhet ankamwana gwa Japhet Ndegelile gwa Nkuju-Kyimbila.

    ReplyDelete
  9. Duh, we Popo umetutenga eeeehh.. eti kukaja kununu bagwitu..subiri nirudi nije kukumwagia kindengereko hapa...

    ReplyDelete
  10. i can see Rungwe the Champion from here.

    ReplyDelete
  11. mweeeeeeeeeee umenikumbusa mbali sana kumitu oooh ! nimekumbuka pale kwetu njia panda ndembela kwa bibi yangu ooh nyumbani kwetu ni kuzuri jamani!! leo itabidi nitengeneze ifindu fya kumit i-mbalagha ,umpunga !! Thanks kwako mdau uliechukua hii taswira!!
    kalumbu A.

    ReplyDelete
  12. Tummoghele x 2
    Atummogheleh

    ReplyDelete
  13. ahsante bro michuzi inatukumbusha wote nyumbani
    Kwisa.

    ReplyDelete
  14. Bagamoyo ya Tukuyu ina uhusiano gani na Bagamoyo ya Pwani au ni majina tu?

    ReplyDelete
  15. kuntry boy, MississippiNovember 11, 2009

    such a beautiful place,.. nice pic bro mithupu ila WAKISAINI MIKATABA YA E.A.C HIYO SEHEMU HAITAKUWA TUKUYU LAND ITAKUWA KIKUYU LAND.

    ReplyDelete
  16. MICHUZI, ULINSISYA!!!!!!!

    ReplyDelete
  17. mwee kukaja kununu na loli, mdau mwalimu Kipalule yupo kwa sasa ana wake watatu wawili wanaishi Lubiga na mmoja ni mwalimu wa Bulyaga anaishi pale Msikitini kwa Viro. Gwakisa

    ReplyDelete
  18. MITHUPU NDAGA MALAFYALE! TUKUJU OJEEEEEE

    ReplyDelete
  19. Mma loli bagwitu, loli kumwitu kunyafu, kangi ubagile nukwitoga igari lulu ukuti usulukege ntukuju bagwituuu! ndaga mithupu apa utuketileko nanuswe!!

    Ngungumbwishye kukaja kulutengano (Ngopyolooooo)

    ReplyDelete
  20. Mma loli bagwitu, loli kumwitu kunyafu, kangi ubagile nukwitoga igari lulu ukuti usulukege ntukuju bagwituuu! ndaga mithupu apa utuketileko nanuswe!!

    Ngungumbwishye kukaja kulutengano (Ngopyolooooo)

    ReplyDelete
  21. Mma loli bagwitu, loli kumwitu kunyafu, kangi ubagile nukwitoga igari lulu ukuti usulukege ntukuju bagwituuu! ndaga mithupu apa utuketileko nanuswe!!

    Ngungumbwishye kukaja kulutengano (Ngopyolooooo)

    ReplyDelete
  22. Mmmh! Kazi kweli kweli watanzania bado tuna safari ndefu Looooo!
    Nahisi wakitoka nshomile hawa ndugu zetu ulipo huo mlima rungwe ndo wanafwatia kwa ukabila.
    Hivi kama mtu asili yake ni hapo lakini hakubahatika kuijua lugha yake,ataelewa hayo mliyoandika?
    Mwaki...,Mwandu...., Atu....,Ambaki......Mwaip.....,Lute.......,Lusub......,Lusa......,Mwaigom......Mmmmh! Kazi tunayo!

    ReplyDelete
  23. atayaelewa tu ,mimi mwenyewe niliishi rungwe,lakini sio mzaliwa wa kule mbona nayaelewa? nimefurahi kupaona tukuyu huyu picha amechukulia itete dispensary pale barabarani

    tubukile kutukuju

    mambo ya kina lusajo ,lusubilo,lutengano,kisa ngonya,ben mwaipaja nakadhalika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...