
In an effort to help my fellow Albinos in Tanzania improving their overall wellbeing; Nov 21st from 11pm, Tanzanian, Kenyan, and Zambian Artists from all over the states will be joining me for a BENEFIT CONCERT in Columbus, OH.
All proceeds go to purchase sunscreens for kids ages 5-10 in an exertion to prevent skin cancer. Please Join us to make this happen!!!
-- +255 717 705320
+255 756 610100
KARIBUNI SANA WOTE
ALBINO FULANI
Wakuu hii kitu imekaa vizuri sana ila ningeshauri kati ya watu mliomsahau ni Mr. Sugu (Mr II), itakuwa jambo la busara kama mtamshirikisha. Ni wazo tuu
ReplyDeleteTatizo la Mr II aka sugu yeye anajiona jay-z na atakuwa amewachomolea, yeye anataka special treatment wakati hata kwenye game hayuko active kwa zaidi ya miaka mitano hajatoa album. Sisi tunakuja huku ohio na van letu cause we're party people.
ReplyDeleteAlbino Fulani kichwa kidogo mambo makubwa... Wasanii naomba muige huu mfano, ingawa wasanii wakibongo njaa kali, mara moja moja kujitolea sio mbaya ni thawabu mbele za Mungu!!!
ReplyDeleteHuyo dongo Albino Fulani elimu inamfanya afanye mambo makubwa. Nimemfatilia kwa makini sana... Alitoa mziki wa mama yake, halafu aka act kwenye movie, ana single na Video na Fa inayotoka hivi karibuni, na sasa ni hii Concert kuwasaidia wenzake.
ReplyDeleteHii inadhihirisha kuwa anajijengea jina ili afanye mambo makubwa zaidi ktk jamii...SAFI SANA!!!!!
Nakubaliana na hapo juu... wasanii igeni mifano ya kujenga!!!!
ReplyDeleteAF uko juu kaka!!
Big Up good work and keep it up, tuliobaki tuige mfano wa kufanya mambo mazuri kwa ajili ya wahitaji mbalimbali
ReplyDelete