In an effort to help my fellow Albinos in Tanzania improving their overall wellbeing; Nov 21st from 11pm, Tanzanian, Kenyan, and Zambian Artists from all over the states will be joining me for a BENEFIT CONCERT in Columbus, OH.
All proceeds go to purchase sunscreens for kids ages 5-10 in an exertion to prevent skin cancer. Please Join us to make this happen!!!
-- +255 717 705320
+255 756 610100
KARIBUNI SANA WOTE
ALBINO FULANI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wakuu hii kitu imekaa vizuri sana ila ningeshauri kati ya watu mliomsahau ni Mr. Sugu (Mr II), itakuwa jambo la busara kama mtamshirikisha. Ni wazo tuu

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Mr II aka sugu yeye anajiona jay-z na atakuwa amewachomolea, yeye anataka special treatment wakati hata kwenye game hayuko active kwa zaidi ya miaka mitano hajatoa album. Sisi tunakuja huku ohio na van letu cause we're party people.

    ReplyDelete
  3. Albino Fulani kichwa kidogo mambo makubwa... Wasanii naomba muige huu mfano, ingawa wasanii wakibongo njaa kali, mara moja moja kujitolea sio mbaya ni thawabu mbele za Mungu!!!

    ReplyDelete
  4. Huyo dongo Albino Fulani elimu inamfanya afanye mambo makubwa. Nimemfatilia kwa makini sana... Alitoa mziki wa mama yake, halafu aka act kwenye movie, ana single na Video na Fa inayotoka hivi karibuni, na sasa ni hii Concert kuwasaidia wenzake.

    Hii inadhihirisha kuwa anajijengea jina ili afanye mambo makubwa zaidi ktk jamii...SAFI SANA!!!!!

    ReplyDelete
  5. Nakubaliana na hapo juu... wasanii igeni mifano ya kujenga!!!!

    AF uko juu kaka!!

    ReplyDelete
  6. Big Up good work and keep it up, tuliobaki tuige mfano wa kufanya mambo mazuri kwa ajili ya wahitaji mbalimbali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...