KESI ya uvunjifu wa amani, iliyokuwa ikiwakabili wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imefutwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikizwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Victoria Nongwa, ilikuwa ikiwakabiri wanafunzi ambao ni Owawa Juma, Sabinian Pius,Titus Ndula, Paul Issa pamoja na Rais wa Serikali ya wanafunzi katika chuo hicho Anthony Machibya.
Hatua hiyo ya kufutwa, ilifikiwa baada ya upande wa mashitaka katika kesi hiyo, kushindwa kuwafikisha mahakamani hapo mashahidi ambao walidai kuwa wangewaita.
Wakati wa usomwaji wa maelezo ya awali, upande huo wa mashitaka ulidai kuwa ungepeleka mahakamani hapo, mashahidi wapatao sita, ili kuithibitishia mahakama hiyo juu ya tuhuma zinazowakabili wanafunzi hao.
Lakini pamoja na ahadi hiyo, upande huo wa mashitaka ulishindwa kutimiza hilo, jambo lilopeleKEa mahakama kuifuta kesi hiyo ikiwa ni pamoja na kuwaachia huru wanafunzi hao.
Katika kesi hiyo wanafunzi hao, walikuwa wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko husio halali, ambapo wanadaiwa kutenda kosa hilo Januari 19
mwaka huu saa 3:45 asubuhi katika maeneo ya chuo hicho.
Ilidaiwa kuwa wanafunzi hao walibeba mabango yaliyokuwa na ujumbe
balimbali ambao ulikuwa umejielekeza kuleta hasira na kujenga
chuki kwa watu wengine.
Baadhi ya ujumbe uliokuwemo katika mabango hayo ni, "Nyerere
angefufuka leo angelia machozi ya damu",

"Kweli Kikwete umesahahu
umaskini wa Watanzania wako",
umaskini wa Watanzania wako",
"Hivi Pinda wewe ni mtoto wa
mkulima",
mkulima",
"Wazazi wetu tuoneeni huruma tunateseka jamani" na
"Vyuo vya umma vimeuzwa kwa matajiri".
"Vyuo vya umma vimeuzwa kwa matajiri".
DEJA VU
ReplyDeleteOk Now its time for those student to turn the heat to the Government to be paid the loss of time they sufferd during this court processs
ReplyDeleteKama wataitaji msaada jinsi gani ya kupatiwa haki zao niko tayari kuwasaidia
Hii ndo Tanzania Pole Machibya najua mida hii na wewe ungekuwa kazini ila sio mbaya malizia mwaka ulobaki tunakusubiri kazini..
ReplyDeleteNafikiri hiyo ishu isiachwe hivyo,kama mnamalizia huo mwaka mmalize lakini tafuteni jinsi ya kulipwa fidia, kwasababu hii serikali imezoea kuonea watu.
ReplyDeleteJamani hebu tunaomba mprove kwa serikali huo usomi wenu.Cuz its quite unfair walivyowafanyia.
loh! the government of Tanzania inanisikitisha sana,mtu hauna ushahidi nmnakamata kamata watu tu ili mradi kuwaharibia masomo,ninachojua mimi nhata kama walifanya kikao pale level square ni haki yao kwa sababu bahati nzuri nimesoma chuo hiko lakini mtu kama haujasoma unaona kama wanafunzi ni wakorofi sana ila nawapongeza kwa kuachiwa huru ,ninachowashauri MNA HAKI YA KUDAI HAKI YENU YAANI FIDIA WAMEWAPOTEZEA MUDA SAANa kama vipi tafuteni mwanasheria mzuri wa kuwashauri,walimfukuza odong kwa visingizio kibao ambao kwa watu walio nyuma ya pazia unajua kuwa ni uwongo mtupu sema utayasemea wapi hayo maneno haukawii kuambiwa na wewe sio mtanzania uondoke KAMA NOMA NA IWE NOMA.michuzi usibanie naumia sana mie ninapoona wanafunzi hasa wa vyuo vya umma wananyayasika sana.wadau hawajui tu.
ReplyDelete