Cpwaa (left) and Splif star of Flipmode squad having a good conversation at the Busta Rhymes after party at Kempinski hotel's Level 8 joint.
Hello all!
Its my pleasure to inform all BongoFlava lovers, CPWAA's fans and local muisc supporters that i will have an exclusive pre-launching party on 8th Dec 2009 at Movenpick Hotel in Dar es salaam.

Shughuli nzima itaanza na wageni waalikwa (V.I.P) kuanzia saa 2 usiku mpaka 5 usiku na baadae kwa kiingilio cha 15,000 TSH kwa kichwa.
Siku huo kutakuwa na uzinduzi wa tovuti zangu 2, mavazi,documentary fupi, nyimbo mpya na video zake bila kusahau Album Preview na perfomance moja ya ukweliiiiii!--
Na baada ya hapo, ngoma zote za ukweli zitapigwa na maDJ wakali kutoka jijini Dar, na shangwe hilo litaendelea mpaka kuchwele.
looking forward to see you there.
Support local talent, support our music! na tutafika tu.

Ilunga Khalifa (CPwaa)
Brainstormusic & Media Co. Ltd
255 785 000 0017
ui

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bravo CPwaa...wapi SumaLee??? Mzee wa chungwa na chenza.

    ReplyDelete
  2. Kaka Cpwaa hii namba kweli ya Bongo? jifunze ku-edit kabla ya kupost ee baba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...