Home
Unlabelled
DARASA MSITUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ndio wajue kuwa wazalendo bado wapo nchi hii, wao wa level ya juu tu ndio wanatuangusha....
ReplyDeletetunaposema bongo tambarare tukumbuke bado kuna maisha kama haya,tusibweteke na vikwangua anga vya wahindi kariakoo
ReplyDeletePongezi kwa mwalimu wa kujitolea Mwl. Msuya.....naomba serikali ya mkoa iwajengee banda la kusomea watoto wale....hapo tunao akina kikwete wengitu.
ReplyDeleteMahali penye mkusanyiko wa binadamu kama hapa vitu muhimu vya kuangalia ni huduma muhimu kama choo, jengo litakalowalinda kwa mvua na jua na maji salama ya kunywa. Kama choo hakuna, ni wazi wanamalizia shida zao majanini, ukikangalia waliovaa viatu hapo ni wachache sana, miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru hali ni kama hii.
ReplyDeleteNdio maana TZ ni maskini mpaka leo. Angalia watu 4 wa mwanzo walivochangia. Ni kama wanawapa moyo walimu kwa kazi ngumu wanayofanya badala ya kukemea system nzima ya nchi yetu ambayo imeshaoza na kusababisha matatizo yote tunayojionea kila kukicha. Mungu tusaidie.
ReplyDeletehuyu mkuu mkoa hua habidilishi hiyo suti?la
ReplyDeleteJAMANI WANANCHI WENZANGU HII PICHA MNAVYOONA INATIA HASIRA NA HURUMA NA JAZBA KUWA HADI LEO HII KUNA WATU TZ WASIO NA VIATU YAANI WANAPEKUWA!!! HALI HII INA SIKITISHA SANA KUTWAAA MNAWAONA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU KWENYE PICHA, WAKIKATA RIBONI NA KADHALIKA WAKATI WATOTO KA HAWA HAWANA HATA LAPA MGUUNI!! KHAAA NI AIBU SANA TENA SANA! VIONGOZI WA TZ MTAAMKA LINI USINGIZINI??? AMA MTALALA MAISHA?????
ReplyDeleteanon wa Nov 24, 03:47:00 AM, unafikiri 'walimu' hao hawastahili pongezi? unahisi nani anawalipa kuwapatia japo elimu brashi hao vijana? kwa mtazamo wako, unafikiri maisha yasimame kusubiri hiyo system inayokemewa itengemae? mwisho kabisa, wewe binafsi unafikiri unaweza ukafanya kujitolea hata siku moja kwenda kuwapiga brashi hao vijana huko waliko?
ReplyDeleteTafakari....
Michuzi tx 4 this blog...Nipo hapa saa tisa usiku nasearch online toys za kumnunulia mwanangu ....nimeingia kwenye blog yako nimeona hii picha machozi yakanitoka.... Yaani nimewaza sana kwanini hawa wazaliwe kwenye mazingira hayo etc etc..imebidi hata niache nilichokua natafuta...my nephew hii picha lazima aione kesho...kila siku nataka hiki nataka hiki..ukimnunulia tu rangi asiyoipenda basi ametupa na hataki kabisa kugusa...wakati wengine hata shule wanasoma kwenye national park..jamani...
ReplyDelete