waziri wa miundombinu dk. shukuru kawambwa (wa tatu toka shoto) akikagua stesheni ya mpanda mkoani rukwa muda mfupi kabla treni la abiria kuelekea tabora halijaondoka wikiendi hii. abiria walisikika wakimuomba waziri afanye hima kuboresha hali ya uchakavu wa reli pamoja na mabehewa. picha na mdau peti siyame

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mkuu kawambwa tatizo siyo kutembelea stesheni za reli tatizo ni kuondoa Rites na TRL

    ReplyDelete
  2. Bongo tambarare. Kila siku matembezi lakini hakionekani wanachokifanya baada ya hayo matembezi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...