msanii wa kizazi kipya dully sykes (shoto) akiwa na dj choka (kulia) na rafiki yao kwenye internet cafe maarufu ya millenium tower kijitonyama jijini dar. dully ameiambia globu ya jamii kwamba anatamani sana kufanya kazi na supa modo cynthia masasi aliyeko marekani kwani amekuwa akivutiwa mno kila anapomuona katika video za wanamuziki mbalimbali. dully kasema atafarijika sana akipata nafasi ya kufanya music video moja na cynthia ambaye anamzimia mno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. dili dili. dule sykes, niunganishe na joni mashaka nami nikuunganishe na cynthia. wote wapo malekani na cynthia ni rafiki yangu wa kalibu na wala siyo supa modo, ila kama unamzimia niambie nitapata nini ili nikuunganishe.tafuta namba ya mashaka john, unitumie kisha nikuunganishe na cytnhia wa masasi, je utaweza kupigwa na mwananke?

    ReplyDelete
  2. Man I luv Dully Sykes... he's a real hustler :-)

    ReplyDelete
  3. jitahidi utengeneze nyumbe yako kaka acha ndoto za mchana mchana

    ReplyDelete
  4. Angela,

    Kama unampenda Dully si mtafute tu mmalizane wenyewe kwa wenyewe. Kusema hapa blog you love him haitusaidie kitu sisi waungwana.

    ReplyDelete
  5. Mtoto wa CoastNovember 24, 2009

    Omuyasha wa Matiku lelo wangwisya!
    ati Omuhustula?

    ReplyDelete
  6. SIO SIRI CYTHIA NI MZURI AKIVAA ANAPENDEZA NA ANA UMBILE NZURI HALFU ARINGI

    ReplyDelete
  7. Dully, huyo dada yuko Poa sana kwahiyo hilo lawezekana kaka.

    ReplyDelete
  8. Dully jaribu kujifunza mbinu mpya za gemu,mziki sio mchezo vinginevyo kila siku utarudia rudia
    ndoto za chooni

    ReplyDelete
  9. Akugwisya atiki go! ati nimwene enda go.Msige agende na bhumumu bhwaye.

    Mwaya asilia

    ReplyDelete
  10. Angalia usiuziwe mbuzi kwenye mfuko wa Rambo. Sio vyote vingaavyo ni dhahabu. Ila Sauti ya Dhahabu..lol

    ReplyDelete
  11. Dully mdogo wangu nakupenda sana mtangulize MUNGUktk kila jambo baba unasikia?

    ReplyDelete
  12. WE DULLY KWANZA JIWEKE SMATI VINGINEVO UKIWA MCHAFU MCHAFU KAMA ULIVO HUTAWEZA KUJICHANGANYA NA WATU KAMA CYNTHIA SAWA

    ReplyDelete
  13. Aah Cynthia, hana tabu kabisa Dully, ye sibagui sichagui atakae nizika simjui, atakusaidia.

    ReplyDelete
  14. Hapo ujue damu imeshahamia chini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...