Mara baada ya kumaliza swala ya Eid-el-hajj ya mwaka 2009 iliyofanyika East London. Bila ya mpangilio maalum wa majina ni kama ifuatavyo: Ustadh Hafidh Karama, Bwana Mohammed Lioroby, Bwana Saleh Jaber, Ustadh Khamis Faki, Ustadh Nassor Haroub na wengineo
Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh, Ismail Habibu Makusanya akiongoza swala ya Idd El Haj iliyoswaliwa kitaifa katika msikiti wa Al-Farouk uliopo Kinondoni jijini Dar, leo.

Baadhi ya waislamu wakiswali swala ya Idd El Haj iliyoswaliwa kitaifa katika msikiti wa Al-Farouk uliopo Kinondoni, Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Idd Azan ( wa kwanza shoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi.

KWA FURAHA, HESHIMA NA TAADHIMA GLOBU YA JAMII INAKUTAKIA MDAU POPOTE ULIPO SIKUKUU NJEMA YA EID EL HAJJ.
MOLA AKUJAALIE AFYA NA AMANI KATIKA SIKU HII ADHIMU WEWE NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. AMIN



-MICHUZI










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Takabal wahhu minna...

    ReplyDelete
  2. ahasantee sana bwana michuzi nawe pia idd mbaraka njema na wadau wote walokuwa kila pande leo ni cku ya furaha na amani itawale kwenu. wasalaamm.

    ReplyDelete
  3. ama kweli ukimcha Mungu kikweli, hukurahisishia mambo yako na kukuruzuku isivyo taraji(wa/ka).

    Sheikh Ismail amesoma dini na alipenda na kufundisha tawhidi (monotheism) na alijiepusha na tamaa kwa kufanya kazi halali (kidini). Walimu wenzake walijikita kwenye falak, uganga, kamari, disko n.k.

    Sasa kashawazidi wooote, InshaaLlaah nabado.

    ReplyDelete
  4. Sheikh ismail, Umejaaliwa saana miongoni mwa viumbe wa Mungu, ukifanya istikama na kuepuka kuuza dini na waumini kwa wanasia kama viongozi wengine njaa (kwa visingizio tele) unaweza kukutana na Mtukufu wa daraja na babaye Ibrahim.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...